Mwanamke anayejilipia mahari ndoa yake haiwezi kudumu

Siwalaumu hata chembe.. Biashara ni matangazo..
 
Mbona za wahindi zinadumu?Maana wanawake wa kihindi ndiyo hutoa mahari.Kama principle wanayotumia hao jamaa inafanyakazi kwanini kwa wafrika isifanye kazi. Ndoa zinavunjika kwasababu lengo kubwa kuliko yote ni sex
 
Mbona za wahindi zinadumu?Maana wanawake wa kihindi ndiyo hutoa mahari.Kama principle wanayotumia hao jamaa inafanyakazi kwanini kwa wafrika isifanye kazi. Ndoa zinavunjika kwasababu lengo kubwa kuliko yote ni sex
Zinadumu kwakuwa mwanaume anakuwa chini ya mamlaka ya familia ya mwanamke
 
Kumpenda mtu nayo ni dhambi

Mim mwanamke Nina uwezo mwenzangu Hana na tunataka kufunga ndoa
Si mbaya kumsaidia sidhan kama utatoa yote nadhan na yeye atatoa pale alipojiweza

Kuna wazaz kwenye swala la mahar wanakua kama wanakomoa unamwambia mtu mahar milion 3 ukute ndo katoka familia yeye ndo Kila kitu kwamba wazaz hawawez msaidia na shughuli zake au kipato chake ni Mungu saidia na kupenda kapenda uwezo wa mahar Hana anaweza kua nao ila haufiki hicho kiasi naona mwanamke kumsaidia sio mbaya Sion ubaya hapo na inaonyesha mwanamke kaona uchumi wa mwenzake haujitoshelez wao kufunga ndoa
 
Muktadha wa mada ni ile hali yt udanganyifu unaofanywa na binti kwa kutoa pesa na kumpa mwanaume akamlipie mahari.. Hii haina utetezi kwenye hili..
Inaweza kuwa ni mapenzi na mapatano ya wawili lakini hizo ndoa huwa hazidumu.. Na hili ni jambo la kiroho 100%
 
Ni kosa kubwa la kimkakati, ego ya kiume deep down hairuhusu hiko kitu… Kuna siku mwanaume atakitumia against her , na ego ya kike haitakubali hilo shambulizi. Hizi ni hesabu rahisi tu.

Lakini kwa kuanzia, suala la mahari lifutwe au lisiwe materialized.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…