Mwanamke anayejilipia mahari ndoa yake haiwezi kudumu

Mahari mi naona ni kama utapeli tu just imagining unaambiwa;
koti la babu 1M
blanket la bibi 500k
kanga za mam 300k
suti ya baba 2M
Huu ni utamaduni na sio mahari,mahari huwa imesimama yenyewe kama yenyewe,hizi za Makoti sijui mkaja wa babu ni Mila na desturi tu
 
Nataka kuchangia je mahari inalipwa yote au laa? Mahari inatakiwa ilipwe yote ingawa sio lazima kwa mkupuo,waeza Lipa nusu na huko mbeleni ukamalizia au kutokana na makubaliano yenu,lakini ilipwe yote

Hiyo ni zawadi na tunu kwa mwanamke,sasa kutoimalizia ni kana kwamba umefanya khiyana au utapeli kwa mkeo,kitu ambacho ni kibaya sana
 
Batili kwa maoni yako au batili kwa mizani ipi?
 
Hiyo ni zawadi na tunu kwa mwanamke,sasa kutoimalizia ni kana kwamba umefanya khiyana au utapeli kwa mkeo,kitu ambacho ni kibaya sana

Kwa baadhi ya tamaduni mahari haimalizwi mpaka binti apate mtoto..!
 
Chai
 
Uongo mm nimejilipia na bado ninaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…