Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo mnavyodangwanywa 😂 dah wanawachukuliajeDini ni moja tu
Athari za kusomesha Wajukuu Shule za saint nanii hiziBabu naijua hiyo🤣🤣
Eeghh nataka MTU ako serious akuje inbox nitangaze ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]simbilisi
Unakuwa unajitahidi sana kuandika kifalsafa ila huwezi na bado una safari ndefu mno kuweza kuandika ipasavyo ukakubalika. Fanya vitu vingine tu jamaaWanawake wasiojitambua ndîo huambiwa maneno hayo ili kuwatisha na kuwapumbaza Kisha Wanaume hutumia propaganda hiyo kuwatumia Wanawake dhaifu wasiojiamini.
Ndîo maana nikasema, Kwa Binti za Tibeli hiyi desturi ya kuwa mchepuko au kuolewa Mke WA pili wawaachie Wengine No matter what.
Gap la idadi ya Watu Baina ya Wanawake na Wanaume siô la kutisha kiasi kwamba mwanamke anayejitambua aolewe Mke WA pili au awe mchepuko.
Hiyo ni mitazamo na falsafa za Watibeli Mkûu siô Kwa Watu wote
Eeee, hata namba moja hujui kama ni mke wa 2. Jisemee mwenyewe, wako wasomi na wanaruhusu kabisa waume wao waongeze mke. Kila mtu ana maamuzi yake na afanye anachopenda.Sijawahi kuona tangu kuzaliwa Mwanamke aliyesoma na mwenye kipato akawa Mke WA Pili
Hao walioolewa tuu wakishapata Pesa au Elimu hukimbia Ndoa za mitala.
Babu wa hovyo🤣Athari za kusomesha Wajukuu Shule za saint nanii hizi
Kila mtego wanaruka 😜
Tuoneeni Wazee huruma 😜Babu wa hovyo🤣
Inaonekana ww unapenda sana mwanamke mwenye kipato/elimu kubwa ili umtegemee kiuchumi kutimiza majukumu yako ambayo ww mwanaume ulitakiwa uyafanyeUnafikiri Mwanamke mwenye kipato anaweza kubali kuwa Mke mwenza?
Au Mwanamke mwenye Elimu nzuri anaweza kuwa Mke mwenza?
Inaonekana ww unapenda sana mwanamke mwenye kipato/elimu kubwa ili umtegemee kiuchumi kutimiza majukumu yako ambayo ww mwanaume ulitakiwa uyafanye
Tatizo hapa watu wengi hawajui hesabuUongo, tuko sawa
Mbona hoja zako za kitoto sana kama kijana wa darasa la pili. Umri huo wako unatoa mifano ambayo haiko na uwiano na akili ya kawaida..
Toa hoja yenye mashiko.
Wewe unaweza ruhusu Mkeo aongeze Mume wa pili?
Au wewe unaweza kukubali kuongezwa Mume wa pili?
Jibu lako litaonyesha Wapi nimepuyanga
Angalia hapa unavyowasemelea wanawake kwa kujiamini 100% as if wewe ni mwanamke ili tuamini labda una-base na hisia za kike..au utafikiri umefanya tafiti ukaja na majibu hayo unayoandika...Yaani unaandika as if formula ya 1+1=2 iko universal kwa wanadamu wote.Inaonekana au wewe ndîo unaona hivyo?
Nikisema inaonekana unaakili ndogo au upeo mfupi WA kuchambua kilichoandikwa nitakuwa nakosea?
Ninachokuambia NI kuwa Hakuna Mwanamke yeyote Duniani mwenye kujitambua na mwenye kipato (kujitegemea) àmbaye atakubali kuwa Mke WA pili.
NI haohao Maskini au Elimu ndogo ndîo huolewa kimafungu
Endelea kuwaamini hao wapika data kwa maslahi yao binafsi.WANAOSEMA Wanaume ni wengi Kuliko wanawake nimewawekea population pyramid inayoyoonyesha World population distribution by sex and age Group
Tujadili kwèñye Umri wa kuoa na kuolewa uwiano unaonyesha jinsia Ipi ina idadi kûbwa ya Watu kuliko nyenzake.
View attachment 3070457
Huyu jamaa huwa anakurupuka na kuja na tafiti uchwara wakati ni mtazamo wake tu.Angalia hapa unavyowasemelea wanawake kwa kujiamini 100% as if wewe ni mwanamke ili tuamini labda una-base na hisia za kike..au utafikiri umefanya tafiti ukaja na majibu hayo unayoandika...Yaani unaandika as if formula ya 1+1=2 iko universal kwa wanadamu wote.
Endelea kuwaamini hao wapika data kwa maslahi yao binafsi.
Hivi mzungu akwambie kabisa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume ili project yao waliyoi target ikwame?
Sayansi tu inaweka wazi kwamba uwezekano wa kuzaliwa mwanamke ni mara mbili zaidi ya ule wa mwanaume.
Kwenye mfumo wa uzazi mwanamke ana XX wakati mwanaume ana XY. Kwa mantiki hiyo X zipo 3 ambazo zina represent mwanamke wakati Y ni moja ambayo inam represent mwanaume.
Unapingana na sayansi? Sayansi ni utafiti na hata baadhi ya vitabu vya dini vinakubaliana na uwingi wa wanawake kuliko wanaume. Data/takwimu huwa zinapikwa kwa maslahi fulani.
Upo sahihi kabisa mkuu. Hili ni suala la nature likiwa supported na sayansi.Kuna saa unaandika vitu kama mtoto mdogo. Mwanamke ajitambue ili nini? Wanawake wakisema wajitambue na kutumia akili kama wanaume hakutakuwa na uhai duniani. Kwa ule uchungu wa kuzaa hakuna mwanamke angekubali kubeba mimba nyingine kama wangekuwa na akili kama zetu. Mwanamke anaweza kuwa hata mke wa tano kama mume anatimiza wajibu wake. Ndugu Mtibeli acha kupambana na NATURE. futa huu uzi.
Angalia hapa unavyowasemelea wanawake kwa kujiamini 100% as if wewe ni mwanamke ili tuamini labda una-base na hisia za kike..au utafikiri umefanya tafiti ukaja na majibu hayo unayoandika...Yaani unaandika as if formula ya 1+1=2 iko universal kwa wanadamu wote.
Mbona hoja zako za kitoto sana kama kijana wa darasa la pili. Umri huo wako unatoa mifano ambayo haiko na uwiano na akili ya kawaida.
Angalieni msiwe mnaandikaandikaa tu kwa hisia....