Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Futa hili andishi haraka sana. Unataka kutuambia na mama yetu wa Taifa hamnazo?? kwa yeye ni mke pili?? wakati dini yake inaruhusu! Unataka kuniambia na mama zetu sisi ambao tumezaliwa katika familia za Kiafrika zenye wake wengi mama zetu hawajitambui??? Unataka kutumbia na bibi zake Yesu walikuwa hawajitambui??? maana Yesu chain yake katokana na mke wa pili au wa tatu kuanzia kisa cha Yuda na Mkwe wake hadi anazaliwa Peresi hadi kuja kwa Daudi kutoka kwa Naomi hadi Sulemani mwana daudi babu yake na Yesu.

Ondoa hili andishi yakhe!

Makosa ya Watu hata kama ni wakubwa kiasi gani au wanacheo kiasi gani hayageuki kuwa siô Makosa.
 
Ndgu upo sahihi kabisa.

Kuna shangazi yangu yeye ni muislam na dini yao inamruhusu mumewe kuoa mke mwingine, ila yeye katu hakubaliani na hilo.

Sio kisa dini inaruhusu basi uitumie kumkandamiza mwanamke, nae ni binadamu na ana wivu kama wewe mwanaume.

Hili bandiko ni kweli tupu.
 
Ndgu upo sahihi kabisa.

Kuna shangazi yangu yeye ni muislam na dini yao inamruhusu mumewe kuoa mke mwingine, ila yeye katu hakubaliani na hilo.

Sio kisa dini inaruhusu basi uitumie kumkandamiza mwanamke, nae ni binadamu na ana wivu kama wewe mwanaume.

Hili bandiko ni kweli tupu.

Hata kwenye hizô Dini kuna Mapokeo àmbayo siô Sheria za Mungu àmbayo yamewekwa Kwa utashi wa Wanadamu.
Kama suala la wake wengi NI utashi wa Watu.
Mahari NI utashi wa Watu

Sio kama Mapokeo yôte NI Mabaya ila mapokeo yenye lengo la kumkandamiza Mtu Fulani au kundi Fulani hayo yanawekwa kwèñye Mila potofu
 
Huyu jamaa aendelee na watibeli wenzake, sisi tumeamua mke mmoja hajawahi kutosha. Unless unataka usifike 80yrs
Mzee mwenzangu umeongea sahihi kabisa

Ukipata Mke kimeo halafu mmoja, huwezi kutoboa kufika walau umri wangu huu 78 😜
 
NI Kwa sababu Wanawake walinyimwa Miundombinu ya kujitafutia na kufanya kazi ndîo maana waliolewa kimafungu kama Nyanya. Lakini siô kwamba Walipenda au wanapenda Jambo Hilo.
Ndîo maana wakiolewa Wake Wenza vita Yao Humo ndàni NI kûbwa mno, kulogana, kuuana, na hata Wakati mwingine Mwanaume hûjikuta kwèñye hatari ya kupoteza Maisha.

Kina dronedrake na Liverpool VPN waô wanakataa Ndoa Kwa sababu ya utapeli Mkubwa uliopo humo siô kwamba hawajui umuhimu wa Ndoa.
Ukisoma hata historia za Mitume wetu kuanzia Abraham, Suleiman hata Muhamadi wote walioa wake zaidi ya mmoja

Mimi tayari nina wake 5 sasa, mwakani naongeza Mke wa sita 😜
 
Naona Mjukuu wangu Atoto amekasirika kusikia Babu yake nataka kuongeza Mke wa 6 mwakani 😜
 
Utafia viunoni babu🤣🤣🤣🤣
Kwanza vocha yangu nakudai.
Yaani huo mwendo wa kilomita 1 Kwa Mwaka mara Moja ndiyo unifanye nifie kiunoni Mjukuu, not to that extent 😜

Vocha nilikutumia Jana Mjukuu, kumbe hukuiona
 
Yaani huo mwendo wa kilomita 1 Kwa Mwaka mara Moja ndiyo unifanye nifie kiunoni Mjukuu, not to that extent 😜

Vocha nilikutumia Jana Mjukuu, kumbe hukuiona
Aaah babu wa mchongo kwisha habari yako.

Acha fix we mzee🤣
 
Hii nakupinga mkuu. Kuwa mke wa pili sio laana wala kutokujitambua labda kwako tu hili ndo kutokujitambua!!

Jamii za kifugaji ni kawaida sana na ni Baraka kabisa na mahali hutolewa sawasawa na Wa kwanza.

Pili umeingilia dini za watu wenye Imani ya kuoa Hadi wake4 na nikawaida kabisaa.

Uzungu umekuingia sana usijione uko sawa Kila Wakati muda mwingine unapuyanga vibaya.
 
Back
Top Bottom