Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #221
Futa hili andishi haraka sana. Unataka kutuambia na mama yetu wa Taifa hamnazo?? kwa yeye ni mke pili?? wakati dini yake inaruhusu! Unataka kuniambia na mama zetu sisi ambao tumezaliwa katika familia za Kiafrika zenye wake wengi mama zetu hawajitambui??? Unataka kutumbia na bibi zake Yesu walikuwa hawajitambui??? maana Yesu chain yake katokana na mke wa pili au wa tatu kuanzia kisa cha Yuda na Mkwe wake hadi anazaliwa Peresi hadi kuja kwa Daudi kutoka kwa Naomi hadi Sulemani mwana daudi babu yake na Yesu.
Ondoa hili andishi yakhe!
Makosa ya Watu hata kama ni wakubwa kiasi gani au wanacheo kiasi gani hayageuki kuwa siô Makosa.