Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Unakuwa unajitahidi sana kuandika kifalsafa ila huwezi na bado una safari ndefu mno kuweza kuandika ipasavyo ukakubalika. Fanya vitu vingine tu jamaa
 
Sijawahi kuona tangu kuzaliwa Mwanamke aliyesoma na mwenye kipato akawa Mke WA Pili

Hao walioolewa tuu wakishapata Pesa au Elimu hukimbia Ndoa za mitala.
Eeee, hata namba moja hujui kama ni mke wa 2. Jisemee mwenyewe, wako wasomi na wanaruhusu kabisa waume wao waongeze mke. Kila mtu ana maamuzi yake na afanye anachopenda.
Ndoa zenyewe nyingi zimejifia ,watu wanaishi kama roommate huku kila mmoja akiwa na mtu mwingine. Watu wanaishi kiunafiki na maneno yao usiyaamini. Hata mleta mada si qjabu anachangamsha jukwaa tu.
 
Inaonekana ww unapenda sana mwanamke mwenye kipato/elimu kubwa ili umtegemee kiuchumi kutimiza majukumu yako ambayo ww mwanaume ulitakiwa uyafanye

Inaonekana au wewe ndîo unaona hivyo?
Nikisema inaonekana unaakili ndogo au upeo mfupi WA kuchambua kilichoandikwa nitakuwa nakosea?

Ninachokuambia NI kuwa Hakuna Mwanamke yeyote Duniani mwenye kujitambua na mwenye kipato (kujitegemea) àmbaye atakubali kuwa Mke WA pili.
NI haohao Maskini au Elimu ndogo ndîo huolewa kimafungu
 
Uongo, tuko sawa
Tatizo hapa watu wengi hawajui hesabu
hata ukichukua takwimu za dunia ukaona wanawake wamezidi kidogo tu pengine kwa 0.6 hiyo kwa macho ni ndogo sana ila kwa hesabu ni zaidi ya wanawake 49,000,000.
 
.
Toa hoja yenye mashiko.

Wewe unaweza ruhusu Mkeo aongeze Mume wa pili?
Au wewe unaweza kukubali kuongezwa Mume wa pili?

Jibu lako litaonyesha Wapi nimepuyanga
Mbona hoja zako za kitoto sana kama kijana wa darasa la pili. Umri huo wako unatoa mifano ambayo haiko na uwiano na akili ya kawaida.
Angalieni msiwe mnaandikaandikaa tu kwa hisia....
 
Angalia hapa unavyowasemelea wanawake kwa kujiamini 100% as if wewe ni mwanamke ili tuamini labda una-base na hisia za kike..au utafikiri umefanya tafiti ukaja na majibu hayo unayoandika...Yaani unaandika as if formula ya 1+1=2 iko universal kwa wanadamu wote.
 
Endelea kuwaamini hao wapika data kwa maslahi yao binafsi.

Hivi mzungu akwambie kabisa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume ili project yao waliyoi target ikwame?

Sayansi tu inaweka wazi kwamba uwezekano wa kuzaliwa mwanamke ni mara mbili zaidi ya ule wa mwanaume.

Kwenye mfumo wa uzazi mwanamke ana XX wakati mwanaume ana XY. Kwa mantiki hiyo X zipo 3 ambazo zina represent mwanamke wakati Y ni moja ambayo inam represent mwanaume.

Unapingana na sayansi? Sayansi ni utafiti na hata baadhi ya vitabu vya dini vinakubaliana na uwingi wa wanawake kuliko wanaume. Data/takwimu huwa zinapikwa kwa maslahi fulani.
 
Huyu jamaa huwa anakurupuka na kuja na tafiti uchwara wakati ni mtazamo wake tu.

Sayansi ipo very clear kwamba probability ya kupatikana mtoto wa kike ni kubwa zaidi ya mtoto wa kike.

Ile formula ya kisayansi kwamba mwanamke ana XX wakati mwanaume ni XY manake ni kwamba uwezekano wa Y kuzidiwa na X ni mkubwa kwasababu X zipo 3 ambazo zinawakilisha jinsia ya kike wakati Y ni 1 ambayo inawakilisha jinsia ya kiume.
 

Wanaume wanazaliwa wengi Kuliko wanawake. Hilo Wala halina Ubishi,
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Hili ni suala la nature likiwa supported na sayansi.
 
Unatusagia kunguni tulio na chance ya kugombea majimbo manne
 

Mwanamke NI mtu kama wewe ndîo maana ninauhakika Kwa Asilimia Mia Moja WA kile nilichoandika.

Ukiona nazungumzia Jambo ujue ninaangalia factors nyingi siô wale WA kuangalia factor Moja.

Sasa embu toa hoja yako yenye mashiko ili angalau mjadala huu úwe mzuri na wasomaji waone kwèli umetoa challenge. Usiwe kama Wengine àmbao wameonyesha uwezo Mdogo.
 
Mbona hoja zako za kitoto sana kama kijana wa darasa la pili. Umri huo wako unatoa mifano ambayo haiko na uwiano na akili ya kawaida.
Angalieni msiwe mnaandikaandikaa tu kwa hisia....

Badala utoe hoja ñàona umejiunga na weñye uwezo Mdogo.
Embu jitutumue basi angalau wale wanaotumia Akili wakisoma waone umeandika kitu,

Wewe utakubali úwe Mume WA pili yaani Wanaume wawili muoe Mke mmoja?
Kama sivyo, Kwa nini hutokubali?
Kipi kinakufanya usikubali?

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…