Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko.

Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu.

Wewe siô mzuri mpaka úwe Mke WA pili au úwe mchepuko?
Wewe siô mchapakazi na mwenye uwezo wa kujitegemea mpaka úwe Mke WA pili au mchepuko.

Mwanamke mwenye mzuri kwelikweli hawezi kuwa Mchepuko au Mke WA pili. Hakunaga huyo Mwanamke.

Mwanamke anayefanya Kazi na kujitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko.

Kama nilivyokufunza Binti yàngu, kuwa Sisi Watibeli kufanya Kazi ni Dini. Lazima ufanye Kazi uweze kujitegemea mwenyewe.
Ndoa pia ni Dini lakini haimaanishi úwe Mke wa Pili au mchepuko.

Ukijitegemea Huwezi kuwa Mke WA pili Daima dawamu.

Kitu kizuri huwa chaguo la Kwanza. Kitu kinachopendwa huwa chaguo la Kwanza Binti yàngu. Usikubali kuwa na kuitwa wa ziada au nyongeza. Wewe siô wanyonyeza. Wewe NI wathamani.

Úkiwa mvivu na mwenye kumtegemea Mwanaume, hutaki kufanya Kazi na kujitegemea unavunja utu wako na Kwa hakika Watu watakudharau ikiwemo kuwekwa mchepuko au Mke wa Pili.

Kuolewa Mke WA pili au mchepuko NI kukosa Soko, haiwezeniki Wanawake wenzako Kila Siku wanaolewa na kupata Wanaume waô wènyewe alafu wewe úwe mpàngo wa kando au Mke WA Pili.

Huo ni Mkosi
Huko ni kujichafulia Ñyota yako. Kuizim.

Kuitwa Mke mdogo Binti yàngu siô Sifa Njema. Wewe siô Bi. Mdogo. Nilikuzaa úwe Mke Mkubwa Kwa Mwanaume atakayekupa First priority. Sikukuzaa uitwe Bi. Mdogo au Nyumba ndogo.

Wewes siô Bi. Mdogo.
Nyumba yako Kamwe isiitwe Nyumba ndogo.
Kamwe Usiitwe Mpàngo wa kando au mchepuko. Wewe ni Njia kuu, Mke Mkubwa. Nyumba kûbwa.

Wewe ni Highway, michepuko itoke kwako hiyo siô kesi lakini siô wewe ati úwe mchepuko Kutoka Njia kuu. Huko ni kujidhalilisha. Binti za Tibeli Kamwe na haitokuja kutokea wakawa na sîfa hiyo.

Kwani unaharaka gàni?
Wanaume wa kukuoa wàpo anakimbilia kuwa Mke WA pili au mchepuko ili kushusha hadhi na Ñyota yako Maisha yako yôte Kisa nini?

Fanya Kazi wewe NI Mwanamke unayeweza kujitegemea.

Elewa, Mwanamke mzuri anayefanya Kazi akajitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko Kwa sababu Wanaume weñye Akili hujua thamani yake na watamuoa akiwa nafasi ya Kwanza.

Fanya Kazi, linda heshima yako na thamani yako kama Mwanamke.

Masuala ya kusema mbona Zamani Bibi zako walikuwa wanaolewa Wake Wenza au Michepuko hiyo ilikuwa Zamani Wakati Wanawake wakiwa watumwa.

Tenà hata hizô Zamani Binti za Tibeli na Wanawake wa Tibeli hawakuwahi kuolewa Mke wa Pili Wala kuwa michepuko.

Hiyo siô desturi ya Wanawake Bora wanaojitambua.
Hilo la Mke WA pili au mchepuko Acha Wengine wafanye lakini siô wewe Binti yàngu. .
Baadhi ya Mapokeo ya Dini àmbayo hayakufuata HAKI Bali yalifuata matamanio ya Wanadamu na matamanio ya waandishi wa Wakati huo usiyafuate.

Mimi Baba yako, na Mama yako ndivyo tulivyokuagiza hayo. Yasikilize maneno yàngu

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Crap kubwa sana hii

You know nothing when it comes to culture
 
Mke wa pili hana shida iwapo dini inaruhusu na taratibu zote zimefatwa.

Ndîo maana nikasema Watibeli hawafuati Mapokeo ya Dini àmbayo yamelenga kukandamiza HAKI za Watu Fulani na yameandikwa Kwa HISIA, matamanio ya Wanadamu na Wala siô Amri wala Sheria za Mungu
 
Ndîo maana nikasema Watibeli hawafuati Mapokeo ya Dini àmbayo yamelenga kukandamiza HAKI za Watu Fulani na yameandikwa Kwa HISIA, matamanio ya Wanadamu na Wala siô Amri wala Sheria za Mungu
Wanafuata sheria za imani ipi zisizo za kidini?
 
Result ya ujinga na umaskini...

Ujinga. Ni pale huyu mwanamke anashindwa kujitambua na kutambua nafasi yake .
Kushindwa kujiuliza kwanini .?

Umaskini. Ni pale jamii yake inamshinikiza kuolewa ili uku nyumbani wapate ahueni.

Hata kwa mchepuko mambo ni hayo hayo tu mawili
 
Crap kubwa sana hii

You know nothing when it comes to culture

Nilichoandika NI culture ya Tibeli Mkûu.
Take easy kama kwèñu culture Yenu NI kuruhusu Bintu zenu kuolewa kimafungu au kuwa michepuko NI ninyi lakini kwetu NI mwiko
Sababu kûbwa NI suala la HAKI na Upendo
Kihaki, siô Haki kufanya Jambo ambalo wewe hutaki kufanyiwa.

Kiupendo, siô Mapenzi na wala siô Upendo WA kwèli Mtu kuwekwa second position. Upendo Siku zote ni namba Moja
 
Sasa kama culture ni ya Tibeli kwa nini umewaandikia watanzania?
 
Result ya ujinga na umaskini...

Ujinga. Ni pale huyu mwanamke anashindwa kujitambua na kutambua nafasi yake .
Kushindwa kujiuliza kwanini .?

Umaskini. Ni pale jamii yake inamshinikiza kuolewa ili uku nyumbani wapate ahueni.

Hata kwa mchepuko mambo ni hayo hayo tu mawili

Umaskini huleta udhalili.
Ûjinga huleta Utumwa hasa kifikra na hata kidini.
MTU anatumia ûjinga wako kuhalalisha kukukandamiza

Mwanamke mjinga anaweza kuambiwa Dini imemtaka aolewe wake wengi naye Bila ku-reason anakubali kichwa kichwa.
 
𝐴𝑙𝑜ℎ! 𝑘𝑢𝑚𝑏𝑒 ℎ𝑢𝑢 𝑚𝑠𝑒𝑚𝑜 𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 (𝑢𝑘𝑖𝑚𝑠𝑖𝑓𝑖𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑔𝑒𝑚𝑎 𝑡𝑒𝑚𝑏𝑜 𝑢𝑙𝑖𝑡𝑖𝑎 𝑚𝑎𝑗𝑖) 𝑛𝑑𝑜 ℎ𝑖𝑖 𝑠𝑎𝑠𝑎.
 
𝐴𝑙𝑜ℎ! 𝑘𝑢𝑚𝑏𝑒 ℎ𝑢𝑢 𝑚𝑠𝑒𝑚𝑜 𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 (𝑢𝑘𝑖𝑚𝑠𝑖𝑓𝑖𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑔𝑒𝑚𝑎 𝑡𝑒𝑚𝑏𝑜 𝑢𝑙𝑖𝑡𝑖𝑎 𝑚𝑎𝑗𝑖) 𝑛𝑑𝑜 ℎ𝑖𝑖 𝑠𝑎𝑠𝑎.

Hii NI Kwa Watibeli
Ninyi weñye tamaduni tofauti na Sisi haiwahusu
 
Back
Top Bottom