Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko.

Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu.

Wewe siô mzuri mpaka úwe Mke WA pili au úwe mchepuko?
Wewe siô mchapakazi na mwenye uwezo wa kujitegemea mpaka úwe Mke WA pili au mchepuko.

Mwanamke mwenye mzuri kwelikweli hawezi kuwa Mchepuko au Mke WA pili. Hakunaga huyo Mwanamke.

Mwanamke anayefanya Kazi na kujitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko.

Kama nilivyokufunza Binti yàngu, kuwa Sisi Watibeli kufanya Kazi ni Dini. Lazima ufanye Kazi uweze kujitegemea mwenyewe.
Ndoa pia ni Dini lakini haimaanishi úwe Mke wa Pili au mchepuko.

Ukijitegemea Huwezi kuwa Mke WA pili Daima dawamu.

Kitu kizuri huwa chaguo la Kwanza. Kitu kinachopendwa huwa chaguo la Kwanza Binti yàngu. Usikubali kuwa na kuitwa wa ziada au nyongeza. Wewe siô wanyonyeza. Wewe NI wathamani.

Úkiwa mvivu na mwenye kumtegemea Mwanaume, hutaki kufanya Kazi na kujitegemea unavunja utu wako na Kwa hakika Watu watakudharau ikiwemo kuwekwa mchepuko au Mke wa Pili.

Kuolewa Mke WA pili au mchepuko NI kukosa Soko, haiwezeniki Wanawake wenzako Kila Siku wanaolewa na kupata Wanaume waô wènyewe alafu wewe úwe mpàngo wa kando au Mke WA Pili.

Huo ni Mkosi
Huko ni kujichafulia Ñyota yako. Kuizim.

Kuitwa Mke mdogo Binti yàngu siô Sifa Njema. Wewe siô Bi. Mdogo. Nilikuzaa úwe Mke Mkubwa Kwa Mwanaume atakayekupa First priority. Sikukuzaa uitwe Bi. Mdogo au Nyumba ndogo.

Wewes siô Bi. Mdogo.
Nyumba yako Kamwe isiitwe Nyumba ndogo.
Kamwe Usiitwe Mpàngo wa kando au mchepuko. Wewe ni Njia kuu, Mke Mkubwa. Nyumba kûbwa.

Wewe ni Highway, michepuko itoke kwako hiyo siô kesi lakini siô wewe ati úwe mchepuko Kutoka Njia kuu. Huko ni kujidhalilisha. Binti za Tibeli Kamwe na haitokuja kutokea wakawa na sîfa hiyo.

Kwani unaharaka gàni?
Wanaume wa kukuoa wàpo anakimbilia kuwa Mke WA pili au mchepuko ili kushusha hadhi na Ñyota yako Maisha yako yôte Kisa nini?

Fanya Kazi wewe NI Mwanamke unayeweza kujitegemea.

Elewa, Mwanamke mzuri anayefanya Kazi akajitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko Kwa sababu Wanaume weñye Akili hujua thamani yake na watamuoa akiwa nafasi ya Kwanza.

Fanya Kazi, linda heshima yako na thamani yako kama Mwanamke.

Masuala ya kusema mbona Zamani Bibi zako walikuwa wanaolewa Wake Wenza au Michepuko hiyo ilikuwa Zamani Wakati Wanawake wakiwa watumwa.

Tenà hata hizô Zamani Binti za Tibeli na Wanawake wa Tibeli hawakuwahi kuolewa Mke wa Pili Wala kuwa michepuko.

Hiyo siô desturi ya Wanawake Bora wanaojitambua.
Hilo la Mke WA pili au mchepuko Acha Wengine wafanye lakini siô wewe Binti yàngu. .
Baadhi ya Mapokeo ya Dini àmbayo hayakufuata HAKI Bali yalifuata matamanio ya Wanadamu na matamanio ya waandishi wa Wakati huo usiyafuate.

Mimi Baba yako, na Mama yako ndivyo tulivyokuagiza hayo. Yasikilize maneno yàngu

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
unatemaga fact, ila leo tu umeyadavilaah.
 
unatemaga fact, ila leo tu umeyadavilaah
 
Mashudu matupu. Mke wa pili , watatu ama hata wasita sio ulemavu.

Wapo wanawake wapo watano kwa mwanaume mmoja na wamepiga hatua ya maendeleo kuliko huyo pimbi anayejiita mke mmoja mume mmoja wakati wanaishi maisha ya dhiki.
 
unatemaga fact, ila leo tu umeyadavilaah.

Kwa sababu ninyi hamjui Haki NI kitû gàni.
Siku ukijua Haki NI nini na Upendo NI kitû gàni utaelewa ninayoandikaga.
Kwa Sasa utakuwa unakubali nusu Kwa nusu na kukataa nusu Kwa nusu.
 
Kwaiyo we unasapoti ndoa ya mke mmoja au kiaje.
Em nifafanulie
 
Mashudu matupu. Mke wa pili , watatu ama hata wasita sio ulemavu.

Wapo wanawake wapo watano kwa mwanaume mmoja na wamepiga hatua ya maendeleo kuliko huyo pimbi anayejiita mke mmoja mume mmoja wakati wanaishi maisha ya dhiki.

Ndîo maana hamtaki Kuoa Wake waliohuru,weñye uelewa, Kwa sababu hawawezi kukubali ûjinga na kudharauliwa.

KUoa Wake watumwa unaweza Kuoa hata elfu Tano ukitaka NI Hela yako tuu na kuweza kuwahudumia Kwa sababu waô NI wavivu hawawezi kujilisha.

Lakini kamwehata úwe bilionea Namba Moja Dunia Huwezi kumwoa Mwanamke anayejitambua Mke WA pili au kumuolea wake wengi.

Kama wewe usivyokubali Mkeo awe na Mume Mwingine ndivyo hivyohivyo Kwa Mwanamke anayejitambua
 
Hizo ni propaganda.
Hakuna gap la kutisha Baina ya idadi ya Wanaume na Wanawake Duniani
Hata kama uwiano wa me na ke ungekua 1:1, kumbuka anaeoa ni mwanaume. Na sio kila mwanaume yuko tayari kuoa, kwa sababu mbalimbali.

Moja ya sababu ni kwamba, katika jamii ambayo mwanaume ndio anategemewa kutunza familia, na kwa hali ya sasa ya uchumi, ajira nk, kuna idadi kubwa sana ya wanaume (zaidi ya 50%) ambao hawako tayari kubeba majukumu ya familia, hivyo kuamua kutokuoa.

Hii tu peke yake, inafanya idadi ya wanawake wanaotaka kuolewa kuwa kubwa kuliko wanaume wanaotaka kuoa na hivyo kuwaacha wanawake wengi bila wanaume.
 
Kama mpo busy na Sera yenu ya kataa ndoa wacha waolewe tu wake wa pili..
 
Ndîo maana hamtaki Kuoa Wake waliohuru,weñye uelewa, Kwa sababu hawawezi kukubali ûjinga na kudharauliwa.

KUoa Wake watumwa unaweza Kuoa hata elfu Tano ukitaka NI Hela yako tuu na kuweza kuwahudumia Kwa sababu waô NI wavivu hawawezi kujilisha.

Lakini kamwehata úwe bilionea Namba Moja Dunia Huwezi kumwoa Mwanamke anayejitambua Mke WA pili au kumuolea wake wengi.

Kama wewe usivyokubali Mkeo awe na Mume Mwingine ndivyo hivyohivyo Kwa Mwanamke anayejitambua
Nchi zilizo endelea za Ulaya hakuna sheria za wake 2 ila wanaruhusu ndoa za jinsia moja. Unavyoona ni ujinga kwako wengine wanaona sawa. Kila mtu na aishi maisha ambayo anaona yanampa furaha.
Hamuwezi kuwa sawa watu wote duniani.
 
MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko.

Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu.

Wewe siô mzuri mpaka úwe Mke WA pili au úwe mchepuko?
Wewe siô mchapakazi na mwenye uwezo wa kujitegemea mpaka úwe Mke WA pili au mchepuko.

Mwanamke mwenye mzuri kwelikweli hawezi kuwa Mchepuko au Mke WA pili. Hakunaga huyo Mwanamke.

Mwanamke anayefanya Kazi na kujitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko.

Kama nilivyokufunza Binti yàngu, kuwa Sisi Watibeli kufanya Kazi ni Dini. Lazima ufanye Kazi uweze kujitegemea mwenyewe.
Ndoa pia ni Dini lakini haimaanishi úwe Mke wa Pili au mchepuko.

Ukijitegemea Huwezi kuwa Mke WA pili Daima dawamu.

Kitu kizuri huwa chaguo la Kwanza. Kitu kinachopendwa huwa chaguo la Kwanza Binti yàngu. Usikubali kuwa na kuitwa wa ziada au nyongeza. Wewe siô wanyonyeza. Wewe NI wathamani.

Úkiwa mvivu na mwenye kumtegemea Mwanaume, hutaki kufanya Kazi na kujitegemea unavunja utu wako na Kwa hakika Watu watakudharau ikiwemo kuwekwa mchepuko au Mke wa Pili.

Kuolewa Mke WA pili au mchepuko NI kukosa Soko, haiwezeniki Wanawake wenzako Kila Siku wanaolewa na kupata Wanaume waô wènyewe alafu wewe úwe mpàngo wa kando au Mke WA Pili.

Huo ni Mkosi
Huko ni kujichafulia Ñyota yako. Kuizim.

Kuitwa Mke mdogo Binti yàngu siô Sifa Njema. Wewe siô Bi. Mdogo. Nilikuzaa úwe Mke Mkubwa Kwa Mwanaume atakayekupa First priority. Sikukuzaa uitwe Bi. Mdogo au Nyumba ndogo.

Wewes siô Bi. Mdogo.
Nyumba yako Kamwe isiitwe Nyumba ndogo.
Kamwe Usiitwe Mpàngo wa kando au mchepuko. Wewe ni Njia kuu, Mke Mkubwa. Nyumba kûbwa.

Wewe ni Highway, michepuko itoke kwako hiyo siô kesi lakini siô wewe ati úwe mchepuko Kutoka Njia kuu. Huko ni kujidhalilisha. Binti za Tibeli Kamwe na haitokuja kutokea wakawa na sîfa hiyo.

Kwani unaharaka gàni?
Wanaume wa kukuoa wàpo anakimbilia kuwa Mke WA pili au mchepuko ili kushusha hadhi na Ñyota yako Maisha yako yôte Kisa nini?

Fanya Kazi wewe NI Mwanamke unayeweza kujitegemea.

Elewa, Mwanamke mzuri anayefanya Kazi akajitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko Kwa sababu Wanaume weñye Akili hujua thamani yake na watamuoa akiwa nafasi ya Kwanza.

Fanya Kazi, linda heshima yako na thamani yako kama Mwanamke.

Masuala ya kusema mbona Zamani Bibi zako walikuwa wanaolewa Wake Wenza au Michepuko hiyo ilikuwa Zamani Wakati Wanawake wakiwa watumwa.

Tenà hata hizô Zamani Binti za Tibeli na Wanawake wa Tibeli hawakuwahi kuolewa Mke wa Pili Wala kuwa michepuko.

Hiyo siô desturi ya Wanawake Bora wanaojitambua.
Hilo la Mke WA pili au mchepuko Acha Wengine wafanye lakini siô wewe Binti yàngu. .
Baadhi ya Mapokeo ya Dini àmbayo hayakufuata HAKI Bali yalifuata matamanio ya Wanadamu na matamanio ya waandishi wa Wakati huo usiyafuate.

Mimi Baba yako, na Mama yako ndivyo tulivyokuagiza hayo. Yasikilize maneno yàngu

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
mtibeli wanyokwe.wewe mpare unajiita mtibeli. kum er nini wewe mtoto?

ukiwa huna jambo lamaana utuliage acha kujiaibisha hapo mwenyewe hata mke huna au unasapoti upinde tukuchumbie?
 
Screenshot_2024-08-15-09-19-38-68_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Back
Top Bottom