Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Malaya watapingana na huu ujumbe wa kutokuwa mchepuko

Mke wa pili
inategemea na imani
Kwa Watibeli Mke WA pili NI mwiko
Ila Binti WA Tibeli kuruhusu Mumewe kuongeza wake siô tatizo kama huyo Mwanamke atakubali Kwa hiyari Yake na kufuata Kanuni na Sheria alizozikuta kwèñye mfumo wa Nyumba kubwa
 
Takwimu kutoka Taasisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Tanzania ina wanawake 31,687,990 - ikiwa ni asilimia 51 ya idadi ya raia wake. Wanaume wanachukua asilimia 49 kwa idadi yao ya 30,530,130.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Kwa takwimu hizo kama kila mwanaume akioa mwanamke mmoja, kuna wanawake zaidi ya milioni moja hawataolewa. Je, tuwapeleke wapi?
 
Tunaomba utuambie, wanawake kama binadamu wengine, mahitaji yao ya kimaumbile atawatekelezea nani iwapo hawatachepukiwa?
 
Kwenu watibeli kuzini ni dhambi au poa tu?
 
Sasa kwanini usinge andika kwamba nihao watibeli?au watuwote niwatibeli?
 
Huko zamani kuna manabii walioa mamia ya wanawake. Halafu anakuja mvuta bange mmoja anasema ati ni kutojitambua

Nabii gàni alioa Wake wengi ukiachana na Yakobo aliyezakaziwa Kwa kudanganywa pàmoja na Muhammad.
Embu nitajie Nabii angalau Watatu waliooa wake wengi.
Nijue kwèli wewe unasema kweli
 
Elon Musk tajiri wa dunia hii ana wake wangapi vile?

Kwamba wale hawajitambui kumbe?
 

Tupe rate ya Wanaume na Wanawake walioumri WA Kuoa na kuolewa
Yàani weñye umri kuanzia Miaka 18 Mpaka 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…