adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashalambaa ajira ya mkatabaaa...... watu wanamsifia ana moyoo mzuri sana ni kwelii sasa kwa hali ya mtaani ilivyo ngumuu wakitokea wengine wenye rohoo nzurii sijui watakubaliwaa...!!! 😀 😀 😀hongera sana kwake huyo dada ana ushujaa mkubwa Mungu ambariki sana awe ana moyo huohuo
1.kuna vijana wengi sana wamemaliza vyuo mtaani, wamepeleka barua za kujitolea pale Amana, wamenyiwa hiyo nafasi,inakuwaje mtu from no where asie na kazi Wala taaluma husika akaomba nafasi ya kujitolea na akapewa?
2.Huyu binti ana Mume,na watoto (family) how comes Mwanaume amruhusu Mkewe akiwa anajua Hana taaluma husika, akajitolee sehemu?
Note: najua watu wengi, mmepongeza Sana,Ila wasiwasi wangu upo palepale!
Kuna Jambo kubwa nyuma ya pazia linaloendelea.
watu kuona kuna malipoo watajazanaa wapate madili1. Amefanya kitu.
2. Amesaidia watoto.
3. Hakuna mtu aliyemwahidi malipo.
Comment yako ni ya mtu mwenye roho mbaya.
watu kuona kuna malipoo watajazanaa wapate madili
HUYO BWANA ANA HOJA...Unaonekana wewe ni mchawi.Kila mtu na bahati yake na bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi.Soma vizuri habari yake usikurupuke.Amana hawakutangaza nafasi za kazi kilichotokea huyu mama alikwenda kumtembelea rafiki yake alizaa njiti ndio akaamua kumsaidia baada ya wiki mbili mtoto kaongezeka uzito wakati anataka kutoka akaona mtoto mwingine ametelekezwa kwa huruma ya kibinadamu akasaida na wa pili tena.Swali je wewe ukiona nyumba ya jirani yako inaungua moto na una ndoo ya maji utaacha kuchukua maji kuzima moto kama una uwezo kisa hadi wazima moto wenyewe waje?.
Mfano hiyo namba mbili ndio umechemsha kabisa suala la mtu na mkewe mumewe kumruhusu wewe linakuhusu nini.Pilipili iko shambani wewe mdomo wako unawasha nini.
Nahisi utakuwa ni moja ya watu waliokosa ajira tafuta shughuli za kufanya ziko nyingi sana hata kama ni graduate fungua kijiwe piga viatu rangi.Jamaa mmoja Arusha kamaliza shahada ya sheria anang'arisha viatu amekuwa tajiri kiasi kwamba hataki hata kusikia neno kuajiriwa changamka dogo
naelewa ila unapingaje wanaokuja kwamba hawana rohoo nzuri??? vipi wakitaka kufanyaa bure piaa... wala sikosoi ila haya mambo yapoAlianza yeye, wanaokuja wengine ni wa maslahi, yeye ana moyo wa wema, sijui kwa nini huelewi kanini nyepesi hii.
Hapo ndo pagumuuu mahali wanaandika matangazo HAKUNA NAFASI ZA KUJITOLEAAA 😀 😀HUYO BWANA ANA HOJA...
KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...
SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?
HUYO BWANA ANA HOJA...Bahati ya mwenzio usiilalie milango wazi? Degree ndo inatunza mtoto? Poor on you!!
HUYO BWANA ANA HOJA...kaka linapokuja suala la kuonesha ulicho nacho haijalishi ni wangapi walipita hapo.
alisha sema alikua na rafiki yake means alimsaidia akaona matokeo ndo maana kaona aende hapo hospital kabisa. sasa unapeleka barua ukajitolee upate hela wakati mwenzio anafanya bure from the heart
Sasa mnamvyomsema jamaa ana roho mbaya ..?Hapo ndo pagumuuu mahali wanaandika matangazo HAKUNA NAFASI ZA KUJITOLEAAA 😀 😀
😀 😀 😀 😀yeye anamshambuliaa mama tatizo.Sasa mnamvyomsema jamaa ana roho mbaya ..?
Umeelewa kilichoandikwa kiongozi??.unaambiwa hakwenda Kwa Nia ya kujitolea au kuomba kazi,kaenda kuniona mtoto wa rafiki yke...kama ww ukamuone rafiki yako hospital uambiwe hana damu,then wew unajitolea kumsaidia damuHUYO BWANA ANA HOJA...
KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...
SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?
HUYO BWANA ANA HOJA...Kuna statement nyingine mtu unasoma unabaki kushangaa Wallaih!
Sasa chief, ni kwamba unajiskia tu kulalama ama Unamaanisha toka moyoni? Huduma anayoitoa huyu dada inahusiana vipi na vifaa vya watoto Njiti kutokuwepo?
Too much negativity will hinder your perceptions and a real taste to life, be careful.
Haitoshi...kwahiyo kuchangia damu tu uaminike kufanya kazi hospital kubwa kama hiyo..? Hebu chekecha ubongo...Umeelewa kilichoandikwa kiongozi??.unaambiwa hakwenda Kwa Nia ya kujitolea au kuomba kazi,kaenda kuniona mtoto wa rafiki yke...kama ww ukamuone rafiki yako hospital uambiwe hana damu,then wew unajitolea kumsaidia damu
kwa hiyo baada ya kuona njia yake imefanya kazi ndo wakamruhusu awe anafanya hiyo kazi??? lakini kwa uelewa wangu mama wa mtoto anakuwa na moyo wa utayari zaidi kuliko mtu bakii...??au watoto ambo mama zao wamefariki???Umeelewa kilichoandikwa kiongozi??.unaambiwa hakwenda Kwa Nia ya kujitolea au kuomba kazi,kaenda kuniona mtoto wa rafiki yke...kama ww ukamuone rafiki yako hospital uambiwe hana damu,then wew unajitolea kumsaidia damu
WATU WENYE ROHO NZURI TUKIENDA PALE TUNAINGIAJE TUJITOLEE KAMA YEYE...?Kashalambaa ajira ya mkatabaaa...... watu wanamsifia ana moyoo mzuri sana ni kwelii sasa kwa hali ya mtaani ilivyo ngumuu wakitokea wengine wenye rohoo nzurii sijui watakubaliwaa...!!! 😀 😀 😀
Kwani wangapi wanaenda kuomba kujitolea bila malipo na wanakataliwa...?1. Amefanya kitu.
2. Amesaidia watoto.
3. Hakuna mtu aliyemwahidi malipo.
Comment yako ni ya mtu mwenye roho mbaya.