Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

hongera sana kwake huyo dada ana ushujaa mkubwa Mungu ambariki sana awe ana moyo huohuo
Kashalambaa ajira ya mkatabaaa...... watu wanamsifia ana moyoo mzuri sana ni kwelii sasa kwa hali ya mtaani ilivyo ngumuu wakitokea wengine wenye rohoo nzurii sijui watakubaliwaa...!!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
1. Amefanya kitu.
2. Amesaidia watoto.
3. Hakuna mtu aliyemwahidi malipo.

Comment yako ni ya mtu mwenye roho mbaya.
 
HUYO BWANA ANA HOJA...

KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...

SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?
 
Alianza yeye, wanaokuja wengine ni wa maslahi, yeye ana moyo wa wema, sijui kwa nini huelewi kanini nyepesi hii.
naelewa ila unapingaje wanaokuja kwamba hawana rohoo nzuri??? vipi wakitaka kufanyaa bure piaa... wala sikosoi ila haya mambo yapo
 
HUYO BWANA ANA HOJA...

KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...

SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?
Hapo ndo pagumuuu mahali wanaandika matangazo HAKUNA NAFASI ZA KUJITOLEAAA πŸ˜€ πŸ˜€
 
Bahati ya mwenzio usiilalie milango wazi? Degree ndo inatunza mtoto? Poor on you!!
HUYO BWANA ANA HOJA...

KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...

SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?
 
HUYO BWANA ANA HOJA...

KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...

SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...? NA MANAGEMENT IKAMRUHUSU...? NA IKAWA NI KAZI YA KUJITOLEA INAYOTAMBULIKA NA MADAKTARI WOTE HOSPITALI...?

ALIWEZAJE...?

SUALA LA MOYO NI JAMBO JINGINE...PALE MWANANYAMALA KUINGIA WODI YA WATOTO NI NGUMU MTOTO USIYEHUSIKA KUINGIA KIRAHISI...
 
HUYO BWANA ANA HOJA...

KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...

SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?
Umeelewa kilichoandikwa kiongozi??.unaambiwa hakwenda Kwa Nia ya kujitolea au kuomba kazi,kaenda kuniona mtoto wa rafiki yke...kama ww ukamuone rafiki yako hospital uambiwe hana damu,then wew unajitolea kumsaidia damu
 
Na pengine ukifika pale...utakuta bango kuuuuubwaaaa...HAKUNA NAFASI YA KUJITOLEA...

YEYE KAPATAJE NA KAANZAJE ANZAJE...?
 
Haitoshi...kwahiyo kuchangia damu tu uaminike kufanya kazi hospital kubwa kama hiyo..? Hebu chekecha ubongo...
 
Umeelewa kilichoandikwa kiongozi??.unaambiwa hakwenda Kwa Nia ya kujitolea au kuomba kazi,kaenda kuniona mtoto wa rafiki yke...kama ww ukamuone rafiki yako hospital uambiwe hana damu,then wew unajitolea kumsaidia damu
kwa hiyo baada ya kuona njia yake imefanya kazi ndo wakamruhusu awe anafanya hiyo kazi??? lakini kwa uelewa wangu mama wa mtoto anakuwa na moyo wa utayari zaidi kuliko mtu bakii...??au watoto ambo mama zao wamefariki???
 
Kashalambaa ajira ya mkatabaaa...... watu wanamsifia ana moyoo mzuri sana ni kwelii sasa kwa hali ya mtaani ilivyo ngumuu wakitokea wengine wenye rohoo nzurii sijui watakubaliwaa...!!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
WATU WENYE ROHO NZURI TUKIENDA PALE TUNAINGIAJE TUJITOLEE KAMA YEYE...?
 
HUYO BWANA ANA HOJA...

KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...

SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?

SUALA LA MOYO NI JAMBO JINGINE...PALE MWANANYAMALA KUINGIA WODI YA WATOTO NI NGUMU MTOTO USIYEHUSIKA KUINGIA KIRAHISI...

Na pengine ukifika pale...utakuta bango kuuuuubwaaaa...HAKUNA NAFASI YA KUJITOLEA...

YEYE KAPATAJE NA KAANZAJE ANZAJE...?
 
1. Amefanya kitu.
2. Amesaidia watoto.
3. Hakuna mtu aliyemwahidi malipo.

Comment yako ni ya mtu mwenye roho mbaya.
Kwani wangapi wanaenda kuomba kujitolea bila malipo na wanakataliwa...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…