Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

Hongera sana
 
Politics mze hii...hiyo fursa ya kwenda kujiendeleza sijui kusomea ASTASHAHADA ya UUGUZI ndio MISSION ACCOMPLISHED...HARUDI TENA.
 
naelewa ila unapingaje wanaokuja kwamba hawana rohoo nzuri??? vipi wakitaka kufanyaa bure piaa... wala sikosoi ila haya mambo yapo
POLITICS...NAKUPA WIKI NENDA KAMA UTAMKUTA PALE...KAZI YAKE YA KUTENGENEZA TUKIO LA KUMPA RAIS MAILEJI YA KIASA ITAKUWA IMEISHA. UMESIKIA ATAENDA KUSOMEA ASTASHAHADA YA UUGUZI...NENDENI MKAMTAFUTE VYUO VYOTE KAMA MTAMKUTA.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ila hili suala ni UONGOOOOOO... yani wazazi wa mtoto waache kujito kufanya natural incubation apewe mtu baki???mmmh awe analala wodin bureee
 
yupo clouds leooo anakiwashaa hukoo...sasa sijui watoto leo watapewa joto na nani!! nilitaka kuamini ila akili zimenirudiaaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ mchongo huu
 
yupo clouds leooo anakiwashaa hukoo...sasa sijui watoto leo watapewa joto na nani!! nilitaka kuamini ila akili zimenirudiaaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ mchongo huu
SIASA SIASA SIASA BROTHERS...TO CHANGE THE WAVES...PROPAGANDA...TO GIVE SOMEONE CHEAP POLITICS...
 
HUYO BWANA ANA HOJA...

KUINGIA KUFANYA KAZI HOSPITAL KUBWA KAMA AMANA, TENA YENYE RISK KAMA HIYO KUKUMBATIA VICHANGA...INAHITAJI IMANI NA KUFAHAMIKA HASA...

SWALI...ALIWEZAJE KUPENYA NA KUFANYA KAZI HIYO...?
Ndo bahati ya mwenzio hiyo mkuu Mimi niliwahi panda basi Dar-Tunduma bila tiketi pamoja na kaguzi zote nyingi njian
 
Ndo bahati ya mwenzio hiyo mkuu Mimi niliwahi panda basi Dar-Tunduma bila tiketi pamoja na kaguzi zote nyingi njian
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€mwaka gan huu???mmh wew unaloga sio bahati
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€mwaka gan huu???mmh wew unaloga sio bahati
Bahati tu na nauli nilikuwa nayo sema nilijisahau na nilipopanda kwenye gari muda mwingi nilikuwa nimesinzia
 
Haya mambo hayajawakuta ila kiukweli wife alizaa njiti na sasa ana miez sita shida ya kumkuza huyo mtoto hadi kufikia uzito unaotakiwa inahitaji moyo wa pekee iwapo sio mwanawe. Kwa ufupi huyo mama anahotaji pongezi
 
Dondosha nyama mukulu!!!au kutoana relini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…