Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her.

Mwanamke anayekupenda yupo tayari kwa ajili yako wakati wowote
 
Kweli

Back
Top Bottom