Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

Kwa uzoefu wangu kama baharia wa bahari zote kubwa na ndogo iko hivi.

Mwanamke akikupenda ni kweli kabisa hakuombi hela utajilia weeee kumbe una windwa unawindwa unawindwa mjomba !! siku ya siku utakuja kutoa laki3 hivihivi bila kutalajia yaani.

Hata huna utakopa nakuambia kwanza utapiga hesabu tangu niwe naye hajawahi niomba hata vocha ni ile 15k ya kusuka tena nilimpa mwenyewe bila kuniomba kweli huyu leo anashida.

Hapo tyr kwisha habari yako na ujanja wako.
 
Umeingia kwenye system mpaka iron dome inashindwa kudetect kombora😃.
 
Back
Top Bottom