Kama namuona Mzee wa kupambania jinsi anavyokuangalia, unaposema kuwa umepata mchumba JFPole mkuu. JF imenipa mchumba now , kwake love tu ndio mpango mzima mengine hayo sio kipaumbele na vipengele hakuna. 😊
Mzee wa kupambania Fanton Mahal
Kama namuona Mzee wa kupambania jinsi anavyokuangalia, unaposema kuwa umepata mchumba JFPole mkuu. JF imenipa mchumba now , kwake love tu ndio mpango mzima mengine hayo sio kipaumbele na vipengele hakuna. 😊
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna pisi moja nili iambia mimi kukupa pesa labda uwe na shida ya msingi kama unaumwa vile ,doh ata siku aija pita kesho yake ina lalamika inaumwa nikasema hii kiazi imenikosa [emoji81][emoji81]
Kwa kwelii.Uvivu wa kuhudumia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro ushafungua code, thread ifungwe......hawa wabahili wote wakale ugali.
Bro wewe upewe biriani usiguse kabisa ugali.
Ila wee kumuomba uchi wake na hujamuoa? Nini hiyo?mwanamke hujamuoa anakuomba hela for personal expenses[emoji706][emoji706].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waelezee watoto wadogo wakuelewe [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taratibu we mzee [emoji1787][emoji1787] unatuloanisha tulipo huku
🫣🫣🫣Mbalizi akiamuga huwa anasimulia porn 😂😂😂😂😂
Ni kosa pia. I know.Ila wee kumuomba uchi wake na hujamuoa? Nini hiyo?
🤣🤣🤣 mwanetu kayatimbaKama namuona Mzee wa kupambania jinsi anavyokuangalia, unaposema kuwa umepata mchumba JF
View attachment 3390585
Mzee wa kupambania Fanton Mahal
😅 Vizinga vya kipumbavu inaboaa sanaKuna baadhi ya wadada sijawahi gombana nao, ila sahivi hatusemeshani, mazoea nao yameisha sababu nawakwepa vizinga vyao, sikuwahi kuwatongoza ila wana vizinga vidogo dogo vya mara kwa mara, halafu hapo hapo wanaonesha ishara za kutaka kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mimi.
Yani saa ingine unaogopa hata kumsalimia mdada au kumzoea kidogo, maana unajua kitakachofata ni ninunulie hiki, ninunulie breakfast, mara moja moja yeye kuomba hivyo vitu ni sawa, ila almost every time mtu akikuona anakuambia ninunulie hiki cha buku, ninunulie kile cha breakfast, hadi mtu unamchoka Principle girl Donatila Shunie Numbisa Melancholic Fanton Mahal Equation x Extrovert Mzee wa kupambania
Eeeeh weweeeeeIla mbona kuna wadada wengine wananipiga vizinga mara kwa mara, na hapo hapo bado wanaonesha ishara za kutaka kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mimi, kwa maneno na kwa kujaribu ku-spend time na mimi, sasa hao kidogo nashindwa kuwaelewa mawardat Shunie Melancholic Ms R Donatila
Misosi yote ile 😂😂😂Ni kweli af mm mwanamke namuona tu wa kawaida ni mraibu wa nyeto 😂
Shida kazi zote nafanya mwenye haf nafasi yake ipo ndogo sana moyoniMisosi yote ile 😂😂😂