BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her.
Mwanamke anayekupenda yupo tayari kwa ajili yako wakati wowote
Unaskia naona unaenda kupata GariKuwa nabii au mganga ili ule pesa ya mwanamke bwashee
Nyie ndio mnafanya maisha yawe magumu gademiiitIla tafuta hela lile shimo ulipat bila kugharamika
Inawezekana free on board wagumu tunadumuIla tafuta hela lile shimo ulipat bila kugharamika
Duu tunatofaitoana mkuu,nature inatuchagua tofauti tofauti sitaki kusema kwanini au Kwa sabbu gani,Ila tafuta hela lile shimo ulipat bila kugharamika
Mkuu hiyo ni saikolojia Mwanamke anayekupenda sio msumbufuLabda ununue sextoy ndio haipend pesa 😂
Sure lileshimo lazima pesa ikutoke usipo mpa bas utagharamika kulipia gestNyie ndio mnafanya maisha yawe magumu gademiiit
Mh sawa kivile siwajui wanawakeMkuu hiyo ni saikolojia Mwanamke anayekupenda sio msumbufu
Mh sawa kivile siwajui wanawakeMkuu hiyo ni saikolojia Mwanamke anayekupenda sio msumbufu