EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Mkuu hivi umewahi kutana na wanawake wapenda pesa weweKwiayo Sasa mnataka mwanamke kuonyesha Mapenzi yake kwako..Akuhonge ...
Mkuu mwaname anaejielewa hapendi kulelewa... unless otherwise Wewe Ni Mario
yaani mwanaume unachakata alafu..unataka upewe elfu kumi ya Asante kuonesha unapendwa..
Hivi wanaume wanaisha au [emoji849]
Mkuu ndio hivyo yaani huo ndio ukweliMkuuu...KILA Uzi wako Ni hela na wanawake... Kweli Kukosa hela Ni ugonjwa..Mungu atuhifadhi
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Mhudumie acheni ubahili wazee...
Umlalie mtoto wa watu bado akupe pesa??
Mkuu hivi umewahi kutana na wanawake wapenda pesa wewe
Si ndio apo sasa[emoji1]Mhudumie acheni ubahili wazee...
Umlalie mtoto wa watu bado akupe pesa??
Wapi tena mama....... sipaoni fanya nipaone vizuri.Si ndio apo sasa[emoji1]
Sisi sio ATM, tafuteni za kwenuMwanaume Rijali anaprovide kwakweli... Hatumaanishi Kwamba wanawake wasiwasaidie wanaume lahasha...kusaidiana kupo.
Lakini Wewe mleta mada hata kutoa hela y nauli TU ha bodaboda utaleta bandiko humu.. wanawake wanapenda pesa..
Nakuona Kama unatatizo either unatatizo la kifedha... Au unatatizo na mwanamke kupewa hela... Unaona Kama hatakiwi kupewa hiyo hela
Si ndio apo.. yan mtu akulalie na kilo zote hizo afu bado mimi ndio nimnunulie vizawadi eti.Wapi tena mama....
Hata mtu wa hivi hastahili like yako.Si ndio apo.. yan mtu akulalie na kilo zote hizo afu bado mimi ndio nimnunulie vizawadi eti.
Ahahahah ila wewe mkaka [emoji38][emoji38]Sisi sio ATM, tafuteni za kwenu
Sawa kakaHata mtu wa hivi hastahili like yako.
Wakija PM usiwakubalie sawa?
Ubahiri Noma sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sisi sio ATM, tafuteni za kwenu
Sawa babe
Wewe mwenyewe huna...unataka kupewa Tena na Mwanamke.. Wewe msingi kiuno, mArioSisi sio ATM, tafuteni za kwenu