mwakyindi
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,627
- 2,216
duuh aisee natoka nduki🏃🏃🏃Imagine umetaitika huna maisha unatumia simu iliofungwa na rubberband halafu unakutana na demu anataka umnunulie iphone!
duuh aisee natoka nduki🏃🏃🏃Imagine umetaitika huna maisha unatumia simu iliofungwa na rubberband halafu unakutana na demu anataka umnunulie iphone!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....[emoji23][emoji23]Kuna mmoja alitaka kuua kisa 10000
Ni kweli inatakiwa majukumu kwa mwanaume lakini angalieni jamani na vyuma vimekaza kinoma, unapiga dili lako unaingiza 5000 unashangaa ujumbe baby naumwa tuma 8000 usisahau nayakutolea,, kwakweli mimi sitaki huu ujinga watuma nayakutolea na nimeshakuwa bahili mno,ukiwaendekeza hawa mademu umeisha na utabaki kuwatafutia tu halafu wasivyo nashukulani siku zikikosa unaachwa mataa.Wewe mwenyewe huna...unataka kupewa Tena na Mwanamke.. Wewe msingi kiuno, mArio
mwanamke hakuumbiwa kutafuta pesa...Seema TU saiv tunatuta Basi tu...mwanamke anatakiwa atunzwe, ale na avae na huyu mtunzaji Ni mwanaume.
Sasa Wewe hujui hata mwanaume anatakiwa afanye Nini...