mwakyindi
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,627
- 2,216
duuh ivyo vizinga vya hela nyingi sizizokuwa na idad naomba2 vinipitie kushotoNadhani mtoa mada hazungumzii mizinga ya buku! Anazungumzia vizinga vya hela ndefu visivyo na idadi.
duuh ivyo vizinga vya hela nyingi sizizokuwa na idad naomba2 vinipitie kushotoNadhani mtoa mada hazungumzii mizinga ya buku! Anazungumzia vizinga vya hela ndefu visivyo na idadi.
MKUUU...Nenda kahongwe...Ukichakata raha unapata peke yako?
Ni upuuzi kuendekeza mambo ya kijinga.Kuweka maslahi ya pesa mbele badala ya ubinadamu.MKUUU...Nenda kahongwe...
Kutoa pesa kunahusiana nini na tendo natural na takatifu aliloumba Mungu?Napata ndio ila kwenye jukumu la kutoa pesa ni la kwako na sio la mwanamke..
Mbona nanyinyi mnatulaliaga sisi hatulalamik afu pia mbona style zipo nying doggy style nk zengine nyiny ndo mnakaa juuSi ndio apo.. yan mtu akulalie na kilo zote hizo afu bado mimi ndio nimnunulie vizawadi eti.
Imagine umetaitika huna maisha unatumia simu iliofungwa na rubberband halafu unakutana na demu anataka umnunulie iphone!duuh ivyo vizinga vya hela nyingi sizizokuwa na idad naomba2 vinipitie kushoto
Marioo at workmkuu ndio hivyo huo ndio ukweli, nina mifano ya marafiki zangu Kabisa mkuu nimeshuhudia kwa macho yangu, rafiki yangu anaonyeshwa penzi na mwanadada mmoja alitokea kumwelewa mshikaji ile mbaya, dada alikua ndiye anamtoa out mshikaji,
Linapenda mtelezo [emoji1787][emoji1787]Ganda la ndizi.
[emoji122][emoji122]Hana haya huyu, eti anafurahia kutokumhudumia mpenzi wakeMhudumie acheni ubahili wazee...
Umlalie mtoto wa watu bado akupe pesa??
Hana hela huyu akipata hela hataona shida kumnunulia beibe wake rangeMwanaume Rijali anaprovide kwakweli... Hatumaanishi Kwamba wanawake wasiwasaidie wanaume lahasha...kusaidiana kupo.
Lakini Wewe mleta mada hata kutoa hela y nauli TU ha bodaboda utaleta bandiko humu.. wanawake wanapenda pesa..
Nakuona Kama unatatizo either unatatizo la kifedha... Au unatatizo na mwanamke kupewa hela... Unaona Kama hatakiwi kupewa hiyo hela
[emoji23][emoji23]Kuna mmoja alitaka kuua kisa 10000Sio elfu kumi Kuna siku aliombwa elfu 2 ...akaja na uzi.. wanawake wanapenda hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1]tafuta pesa wewe acha ujinga
Kwanini akuhudumie wakati una wazazi una mikono, tangu uko mdogo mpaka yeye ndiye alikua anakuhudumia[emoji122][emoji122]Hana haya huyu, eti anafurahia kutokumhudumia mpenzi wake
Unamhudumieje Kwani tangu akiwa mdogo mpaka amekuwa wewe ndio ulikua unamhudumia.wazoefu wa mapenzi uzi wenu huu
Utakua miongoni mwa wanaosalandia mademu wa humu pm.Mhudumie acheni ubahili wazee...
Umlalie mtoto wa watu bado akupe pesa??
Wewe unaweza omba wazazi papuchi, maana umesema ana wazazi, so hutaki gharama nunua sabuni ya jamaa iwe gelofriend maana ni cheap.Kwanini akuhudumie wakati una wazazi una mikono, tangu uko mdogo mpaka yeye ndiye alikua anakuhudumia
Nshajua unanisema mm !! Wanawake wa siku hz jaman MMEKUWAJE nilielezea kwa kina lile soo jins alivyotaka kunitapel lkn hamkuona yote mkaona ile 10k[emoji23][emoji23]Kuna mmoja alitaka kuua kisa 10000
naomba niulize swali kwan nyiny hayo matako.matiti.figa.sura na sehemu za siri mnanunua ?Wewe unaweza omba wazazi papuchi, maana umesema ana wazazi, so hutaki gharama nunua sabuni ya jamaa iwe gelofriend maana ni cheap.