Wewe mwenyewe huna...unataka kupewa Tena na Mwanamke.. Wewe msingi kiuno, mArio
mwanamke hakuumbiwa kutafuta pesa...Seema TU saiv tunatuta Basi tu...mwanamke anatakiwa atunzwe, ale na avae na huyu mtunzaji Ni mwanaume.
Sasa Wewe hujui hata mwanaume anatakiwa afanye Nini...