Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah
Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia.
Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa hawashukuru kutoka moyoni huwa ndani yao wanawaza huyu mshenzi nitamfilisije kwahiyo wanaume hao wanaanguka kabisa kiuchumi pasipo kujijua
Nwanamke anaempenda mme wake au mchumba wake huwa hamsumbui anakuwa akimuheshimu
Sasa wewe mwanaume mwenzangu uliyebahatika kusoma uzi wangu kama mke wako hakusumbui basi umepata ila kama ni muomba hela 24hours tazama nini sababu
Kuna mwanamke anaomba hela kwasababu ya hali yake ngumu ila kuna anaekukera tu ili labda umwache uwe wewe ndiye uliyeshindwa kumhudumia