Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

We mgeni wa jiji vp bana iko lalamika....
au umempenda mke wa mtu!!??umeanza kuona wivu.
 
Mada zinazohusu maisha ya wengine jitahidini msiwe mnazileta humu haswa kwa wanaume haipendez sana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mkuu waache na maisha yao. Kama haikuathiri wewe kama wewe waachie tu maisha yao. Ikiwa mume hajalalamika we jipigie kimya tu.

Kuna milion formulas za maisha na zote ziko unique, kila mtu afate inayompendeza maisha yatakuwa na maana sana.

Kwa kuwa hukumchangia mshkaji mahari kumuoa huyo mama, kwa kuwa akirudi saa 6 usiku anamgongea mumewe na sio wewe na kwa kuwa akiongea na hao wanaume wengine anatumia simu yake si yako na pia hata huko namnani alienda kwa nauli yake na alipeleka mwili wake hakukuomba ukamsaidie mi nadhani wewe komaa na kazi yako ya muda iliyokupeleka Dar ukimaliza baada ya mwaka jirudie zako ulikotoka tu umuwahi mamsap ambae haongei na wanaume wengine mkuu
Haya ni majibu ya kidemu.huwaga siyapend kabisa.ko kama hajalalamika sis tusiseme au baya ni baya tu hats ulipambeje
 
Mi nadhani huo mtandio tu ndo unakupa hasira.

Haya mengine ni kutafuta huruma zetu na hupati ng'o.
 
Haya ni majibu ya kidemu.huwaga siyapend kabisa.ko kama hajalalamika sis tusiseme au baya ni baya tu hats ulipambeje
Haya yakiwa majibu ya kidemu alafu wanaondika ko badala ya kwahiyo utawaitaje?
 
Mmmh kuna mtu wangu wa karibu ana janga kama hilihili. Hadi familia imemtenga lakini jamaa haelewi lugha kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom