Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee.

Ndugu zangu nimekuja kikaz dar es salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani .

Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto .

Mkewe jioni hupenda kujifunga mitandio kiukweli mimi kama mpangaji mwenzao inanipa wakati mgum ingawa ninaroho nzito binafsi siwez kumuomba utamu.

Ndugu zangu kilichonishangaza ni huyu mwanamke anaongea na wanaume wengine mbele ya mumewe na mumewe kakaa kimya imenisikitisha sana .

Ndugu zangu pia huyu mwanamke huchukua hatua zaidi kuonana na hao wanaume sijui.kama huwa wanafanya lakini nilishamshuhudia pale namnani hotel akiwa na mwanaume na huwa anarudi nyumabi.saa 6 usiku mwanaume anamfungulia .Mme wake nimepeleleza kazi yake ni mwalimu wa shule ya msingi .

Vijana tutafute pesa huuu upuzi sitaki kuusikia hasa kwa vijana mliopo huku mnaojiita greet thinker
Hahah "eti Mwanamke aongea simu za wanaume mbele ya mumewe"
 
Mtoto wa mwenzio muone kaka mtoto wako - Bony Mwaitege. [emoji445]

Hebu fanya sub, toa mtoto weka mke

that's why mtoa mada anaumia kinoma.
Jamaa ana wivu, ana mtamani mke wa jirani yake. Hata kulala halali anamfatilia anarudi saa ngapi
 
Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee.

Ndugu zangu nimekuja kikaz dar es salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani .

Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto .

Mkewe jioni hupenda kujifunga mitandio kiukweli mimi kama mpangaji mwenzao inanipa wakati mgum ingawa ninaroho nzito binafsi siwez kumuomba utamu.

Ndugu zangu kilichonishangaza ni huyu mwanamke anaongea na wanaume wengine mbele ya mumewe na mumewe kakaa kimya imenisikitisha sana .

Ndugu zangu pia huyu mwanamke huchukua hatua zaidi kuonana na hao wanaume sijui.kama huwa wanafanya lakini nilishamshuhudia pale namnani hotel akiwa na mwanaume na huwa anarudi nyumabi.saa 6 usiku mwanaume anamfungulia .Mme wake nimepeleleza kazi yake ni mwalimu wa shule ya msingi .

Vijana tutafute pesa huuu upuzi sitaki kuusikia hasa kwa vijana mliopo huku mnaojiita greet thinker
Acha kufatilia maisha ya watu mkuu
 
Jamaa ana wivu, ana mtamani mke wa jirani yake. Hata kulala halali anamfatilia anarudi saa ngapi
ujirani mwema. 😀

Au huenda kapitiliza kwenye ile ya " mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe "
 
Yajue ya kuzingatia,,, ili uachane na yasiyokuhusu..

Alisikika headmaster akisema
 
Jaribu na wewe kuomba mzigo uthibitishe uhakika wa hilo suala.

Au hujasoma participant research mkuu?
 
Tatizo lipo kwako, wenyewe hawana tatizo. Kiufupi wewe ndo unateseka
nilichojifunza kwako unamuendesha huyo boyfriend wako hana sauti kwako nahitaji nikushauri njoo pm.
 
Boyfriend??🙄🙄 Unadhani wote humu ni watoto?
 
Dunia ya sasa unabidi uishi ukiwatumia wanawake,kuhusu kuwapenda🤔imeandikwa mpende bwana Mungu wako kwa NGUVU zako zote,kwa MOYO WAKO WOTE,kwa AKILI zote.kuhusu wazazi wangu nimeambiwa niwaheshimu tu ila sio kuwapenda,hawa wengine tutaishi kwa mtazamo tu.ukiona mtu anateswa na mapenzi huyo ni ujinga wake eti kisa kaona imeandikwa mpende mkeo hakati aliyesema hivyo alikuwa single man no woman hapo ndio utajua kwa nini watu wanasema za kuambiwa changanya na zako😂😂😂
 
Boyfriend??🙄🙄 Unadhani wote humu ni watoto?

Ukimchukua huyo jirani yako itapendeza
yaani ww ungekuwa na mimi ningekunyoosha mmeo tatizo mpole sana
 
Back
Top Bottom