Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

We mgeni wa jiji vp bana iko lalamika....
au umempenda mke wa mtu!!??umeanza kuona wivu.
 
Mada zinazohusu maisha ya wengine jitahidini msiwe mnazileta humu haswa kwa wanaume haipendez sana
 
Reactions: Tui
Haya ni majibu ya kidemu.huwaga siyapend kabisa.ko kama hajalalamika sis tusiseme au baya ni baya tu hats ulipambeje
 
Mi nadhani huo mtandio tu ndo unakupa hasira.

Haya mengine ni kutafuta huruma zetu na hupati ng'o.
 
Haya ni majibu ya kidemu.huwaga siyapend kabisa.ko kama hajalalamika sis tusiseme au baya ni baya tu hats ulipambeje
Haya yakiwa majibu ya kidemu alafu wanaondika ko badala ya kwahiyo utawaitaje?
 
Mara hii umeshakua mwanaume wa dar?
 
Mmmh kuna mtu wangu wa karibu ana janga kama hilihili. Hadi familia imemtenga lakini jamaa haelewi lugha kwa mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…