Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

Huyo ni mwanamke mmoja??

Hakuna mwanamke wa hivyo nchi hii.
Bikra, kamaliza diploma, ana kipato chake ,ni mzuri aisee hupati hapo.

Hizo 75% hakuna ke atakaezifikia labda tu uwiwe upunguze marks.
 
Kwema wakuu!

Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo.
Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu.

1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30)
I. uzuri wa sura 10%
ii. Shape [emoji1371] Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10%
iii) Rangi maji ya kunde au rangi ya andazi 10%

2. Awe Mwanamke mwenye tabia njema, Mchamungu na mwenye Imani. (marks 30)
i. Bikra. 15%.
ii. Anayeijua Dini 5%
Iii. Aliyetayari kunisikiliza 10%

3. Awe Mwanamke Mwenye Elimu kuanzia Diploma. 10%

4. Awe anajua Kutunza na kuilea Familia Marks 20
i. Awe na maadili ya kuitunza familia 10%
ii. Awe na kipato au kazi ya kuajiriwa au kujiajiri 10%

5. Ajue mapishi na michezo ya ndani 10%.
Jumla ya Marks ni 100%
Lakini aki- score kuanzia 75 yupo katika nafasi ya kuwa mke wa Watibeli.

Karibuni Kijiwe nongwa
Bikra ,uwezo wa kutunza familia na kukusikiliza ,,combination ngumu sana

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Kwema wakuu!

Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo.
Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu.

1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30)
I. uzuri wa sura 10%
ii. Shape 👉🏼 Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10%
iii) Rangi maji ya kunde au rangi ya andazi 10%

2. Awe Mwanamke mwenye tabia njema, Mchamungu na mwenye Imani. (marks 30)
i. Bikra. 15%.
ii. Anayeijua Dini 5%
Iii. Aliyetayari kunisikiliza 10%

3. Awe Mwanamke Mwenye Elimu kuanzia Diploma. 10%

4. Awe anajua Kutunza na kuilea Familia Marks 20
i. Awe na maadili ya kuitunza familia 10%
ii. Awe na kipato au kazi ya kuajiriwa au kujiajiri 10%

5. Ajue mapishi na michezo ya ndani 10%.
Jumla ya Marks ni 100%
Lakini aki- score kuanzia 75 yupo katika nafasi ya kuwa mke wa Watibeli.

Karibuni Kijiwe nongwa
We unayo ?
 
Kamsomeni huyo anayejiita Corazon Espinado ana kisa kizuri, sema kakijaza ngono kama hana akili vizuri. Maana anaeaelezea wanawake wa Dar wasii na adabu kwa ukweli fulani hivi.

Wewe kijana punguza ngono humo, kisa chako kitapendeza.

Duu bi faiza na wewe unanisoma?

Unajua nikimtama Mama Nisha na nikikusoma wewe humu, naona kama Mama Nisha anaandika, mpaka nilimuuliza, maana mimi nae hatufichaninkitu chochote, akacheka akanambia si mimi, ningekua mimi, wewe ndio wa kwanza ubgejua. Nikiribbi fauza wewe ndie ulinifanya niandike kisa changu.

Toka siku niliolamisha Mama Nisha na yeye siku hizi Msomqjinmzur7 wa JF, hata kisa changu anakisoma sana na ananilazumishannimoe Nisha afanye editing kabla sijakituma, Nisha kagoma kabisa.

Ukweli yupo busy sana hana nafasi kabisa na mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom