Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

Huyo ni mwanamke mmoja??

Hakuna mwanamke wa hivyo nchi hii.
Bikra, kamaliza diploma, ana kipato chake ,ni mzuri aisee hupati hapo.

Hizo 75% hakuna ke atakaezifikia labda tu uwiwe upunguze marks.
 
Bikra ,uwezo wa kutunza familia na kukusikiliza ,,combination ngumu sana

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
We unayo ?
 
Duu bi faiza na wewe unanisoma?

Unajua nikimtama Mama Nisha na nikikusoma wewe humu, naona kama Mama Nisha anaandika, mpaka nilimuuliza, maana mimi nae hatufichaninkitu chochote, akacheka akanambia si mimi, ningekua mimi, wewe ndio wa kwanza ubgejua. Nikiribbi fauza wewe ndie ulinifanya niandike kisa changu.

Toka siku niliolamisha Mama Nisha na yeye siku hizi Msomqjinmzur7 wa JF, hata kisa changu anakisoma sana na ananilazumishannimoe Nisha afanye editing kabla sijakituma, Nisha kagoma kabisa.

Ukweli yupo busy sana hana nafasi kabisa na mitandao ya kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…