GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala.
Sasa Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu je, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?
Sasa Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu je, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?