Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kwani wa mtandaoni wanatoka sayari nyingine?
Si ndio hawa hawa tunapishana nao mitaani.
 
Kuna mmoja wa badoo nimemtindua juzi ijumaa saa saba mchana, niambie wako yukoje isijekuwa tunashare, weka pic au namba nne za simu yake
 
Duuu kwahiyo humu tumejaa wanasiasa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ...OK sifahamu sana kuhusu badoo.
Endelea hivyo hivyo kutoufahamu....Kuna mamen wameweka picha za warembo kisha kuwaibia watu 10 10 za nauli na 20 20 za kusuka.
 
ukiomba mkate huwezi kupewa nyoka ila mkate....kamaa anafaa oa tu.....ila ujipange tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…