Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Kwani wa mtandaoni wanatoka sayari nyingine?
Si ndio hawa hawa tunapishana nao mitaani.
Si ndio hawa hawa tunapishana nao mitaani.
Wakuu
Huyu demu nimemchunguza vya kutosha kitabia na mienendo yake kwa ujumla na sasa nimejiridhisha pasipo chembe ya mashaka kuwa huyu ndiye atakayenifaa maishani.
Kitu ambacho bado kinachonitatiza huyu dem nimemtoa mtandaoni.
Wakuu naomben uzoef wenu. Hawa warembo wa huku badoo wanaweza kufaa kwa matumiz endelevu kweli? coz naona nyuz nyngi hapa ni za kuwadis.
Waumin wa picha vuteni subra