Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo mleta mada unataka kusema wale wanaotafuta wapenzi humu waende BADOO?? [emoji28]
 
Mmoja alinambia nikimtumia hela tu atakuja, c nilichanganyikiwa nikamtumia ndovu, Aisee!! Nampigia simu ananiambia yuko hospitali amelazwa, nilichanganyikiwaje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapigaji ni wengi sana kule.....kama hawatakupiga kwa gea ya kusuka basi watakupiga katika nauli, japo wapo wanaofanya biashara kwa uaminifu.
 
Hatari sana kaka.
 
Watu wanaendesha maisha yao kupitia Badoo usifanye mchezo.
 
Duh! Pesa imemuambukiza ugonjwa ghafla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…