Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Mimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo wa Juu aliniambia anaishi kigamboni... akasema hawezi kuja hadi nitume nauli nikamuambia aje tu me nitamrejeshea pesa si tatizo kwangu akagoma eti mimi ndio mwenye Shida nikaona wale wale... Pole Sana you have to be very carefully na wanaoomba pesa kwanza... nipe nikupe ndio mwake mwake