Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

waliniwezaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mmoja aliniambia nimtumie pesa ya tax na nichukue chumba kabisa nimwambie aje guest gani na chumba namba ngapi, ile kutuma elfu ishirini tu akani sms kuwa hataweza kuja kwani yupo kwenye siku zake siku ya pili leo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umechemsha maji ya kunyonyolea kuku wakati hata kuku mwenyewe hujamkamata!!
 
Huyo Naima ndo zake mara anasomeka yupo Zenji mara anachenji location yupo Dar. Itategemea ww uko wapi ili aonekane yupo karibu nawe na aweze kukupiga. Kwangu alichemka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hhahahahahh kuna virungu mule ukiwa mroho utawala kila siku...!!
 
Reactions: SDG
Biashara nyingine hii

Eti anafanya kazi Zantel, wakati inaonesha hapo anauza Goti[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…