Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nipe user name yake ..nikuletee feedback anachokifanya kule ni nini kama hutojari! mkuu
 

BRAZA BADOO TENA...huko balaaaaaa
 
Utafiti gani. Huijui badoo ww
 
Hahahah

Sasa umesema mpenzi wako unamhofia messi wa nn. Mlengeshe apite nae, usikute fate yao ni kuwa pamoja ila ww kizuizi
 
Aisee hivi sasa nipo badoo naperuz peruz hemu mkuu nipe ka username kake nimsalimie shemej
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa yako Messi au sio
Kila akilenga imo
Daah watu na bahati zao
 
Huko badoo nijanga lakimataifa yaani nizaidi ya sodoma na gomola ila sema wadada wengi kule niwajanjawajanja wamejigeuza mawakala wa m-pesa wanatuchanga wamikoani kwa style ya nitumie nauli nije ukishatuma anaku block, ukiona umechati na mdada kule sikuhiyohiyo akakwambia nitumie nauli nije hata leo ogopa sana huyo ni TP-mazembee. Mwisho badoo imesaidia sana kupata watoto wazuri mie nilijipatia mmoja nimedum nae huu mwaka watatu
 

dahh broo pole sana
huo mtandao sio kwa mwanamke lazima aishe
binafs niliamua kufungua acc fake ya kike nilichoshudia [emoji48][emoji48] ila huyo mpenz wako takua tayar changudoa [emoji28][emoji28]
 
Kumbe mpenzi tu!!??
Nilijua mkeo yaani mnaishi pamoja.
 
Hapo ni mb na muda wako tu pesa utakuja kutozwa na watoto wazuri kwenye kutuma nauli namwisho wasiku hatokei ijapo kua wamo wakweli wanao leta mbunye mpaka mikoani
Mkuu

Kuna mtoto nmemwambia nakupenda huko badoo na leo leo ananiomba pesa. Kwenye kudanga is real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…