Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Sitaki hata kusikia huu mtandao, nilipata rafiki picha zake kama mnyarwanda anajiita mwanahawa dooo akanililia shida elfu 30 ile kumtumia ndio Ukawa mwisho wa urafiki wetu simu hapokei mwisho zikawa hazipatikani kabisa namba zake ni hz huyu tapeli 0718870900 na 0684642067
ulivyokuwa wapga alikuwa anasema yupo karbu na wewe au
 
Mmoja alinambia nikimtumia hela tu atakuja, c nilichanganyikiwa nikamtumia ndovu, Aisee!! Nampigia simu ananiambia yuko hospitali amelazwa, nilichanganyikiwaje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndovu ni kiasi gan
 
1478498895399.png
1478499129682.png
1478499224961.png
huyu yupo dar kwa ambaye amewahi kuwasiliana naye ingawa anasema ana maisha mazur kwamba mume wake ana vx na anamuachiaga
 
Back
Top Bottom