miss ngatara
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 473
- 167
hahahahahaha mzungu koko huyo kwa kamba simuwezi
nothing is impossible under the sun...he who dares win.don't loose hope my dearSidhan kama inawezekana.................
hahahahahaha mzungu koko huyo kwa kamba simuwezi
utaniweZa kwa pawatila
hahaha au greda kabisaaaaa
we neddy. .hivi zile stess za ndoa yako hazijaisha hadi leo?
mbona unamfata fata sana ICHANA???
utanibeba kwa maksai nakuambia....
mtihani umehairishwa tamko rasmi nitalitoa mimi usije ukanipita kiwango cha ufahamu lol
ikishindikana nitamwambia mkuu wa nnchi akurudishe kwenu mlowezi lol
Ha ha ha kweli Leo nimekuweza yaaan scholarship yako ya havard na Oxford ningechukua mimi
rudi kwa mumeo nedy hii hatari...
ukianza kuwindwa na tindikali mi nitasaidia kukuwekea mtego
rudi kwa mumeo nedy hii hatari...
ukianza kuwindwa na tindikali mi nitasaidia kukuwekea mtego