Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

Yaan hapa umeamua kuongea ukwel, kiukwel hili jambo libasumbua ndoa nyingi sana, ngoja nisiseme sana kula like 100000000000000
 
Yupo hapa tumelaliana tunataka kulala
Kulikoni kumuita mume wangu

Nataka kupewa swali na utafiti
Aone kama baada ya kusoma hiyo habar naweza kujibu maswali kiufasaha
Si unajua bdo mtoto lazima nipewe mitihani

nataka Mokoyo awe msimamizi wa mtihani usije kumtega mtungaji lol
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Mimi siwez kumtega mtungaji ukitegemea mzungu wangu Vaislay kashanifundisha hapa lazima kupata 100%

Ushamtaifisha utafiti eeeh au ndo anatunga mtihani

mtihani umehairishwa tamko rasmi nitalitoa mimi usije ukanipita kiwango cha ufahamu lol
 
Last edited by a moderator:
mtihani umehairishwa tamko rasmi nitalitoa mimi usije ukanipita kiwango cha ufahamu lol

we neddy. .hivi zile stess za ndoa yako hazijaisha hadi leo?
mbona unamfata fata sana ICHANA???
 
Last edited by a moderator:
mtihani umehairishwa tamko rasmi nitalitoa mimi usije ukanipita kiwango cha ufahamu lol

Ha ha ha kweli Leo nimekuweza yaaan scholarship yako ya havard na Oxford ningechukua mimi
 
Ha ha ha Mimi siwez kumtega mtungaji ukitegemea mzungu wangu Vaislay kashanifundisha hapa lazima kupata 100%

Ushamtaifisha utafiti eeeh au ndo anatunga mtihani

rudi kwa mumeo nedy hii hatari...
ukianza kuwindwa na tindikali mi nitasaidia kukuwekea mtego
 
Last edited by a moderator:
we neddy. .hivi zile stess za ndoa yako hazijaisha hadi leo?
mbona unamfata fata sana ICHANA???

Uuupsi mzungu tell me
Wewe chezea penzi la king stress lazima ...
 
Last edited by a moderator:
rudi kwa mumeo nedy hii hatari...
ukianza kuwindwa na tindikali mi nitasaidia kukuwekea mtego

Wewe unamjua king hahitaji msaada yule ni htari ile kukaa kimya ila lake jambo.
Lazima afanye ziro ground chezea penzi wewe
 
Back
Top Bottom