Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
ungefuta hii paragraph ya mwisho hoja zako zingekuwa nzuri zaidi.Huwezi kumfananisha bimkubwa wangu na hawa makahaba wa miaka hii
👇👇
"Hivi malaya kama huyu ana mchango gani mpaka awe na nguvu ya kusema hivyo yaani kunipa uchi ndio yote aliyonifanyia eti nimkumbuke 😅"
kwa sababu huyu mwanamke uliyemzungumzia sijaona sehemu uliyeandika kuwa alikuwa na wanaume wengi, neno Malaya hukutakiwa kuliandika hapa.
Nb: nmependa hoja zako zinauhalisia