Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Hao Malaya waache km walivyo Jana huku street kuliibuka ugomvi saa 8 usiku kisa chakula mume karudi kakuta hakuna chakula Malaya kagoma kupika na hela ya matumizi alimwachia mbaya zaidi Malaya hayupo anamwambia upo wapi anajibu nyodo nipo sehemu fulani Jamaa ikabidi achukue maamuzi ya kwenda kununua kiepe kuku mpaka anarudi home tena Malaya hayupo anampigia Simu anajibu nyodo ikabidi jamaa amfuate wakiwa njiani ugomvi akataka amfumue wahuni wakaingilia wakampiga Jamaa unaona hapo? Yaan Malaya wako unataka kumtia adabu wahuni wanaingilia ugomvi wamefika home ugomvi mkubwa watoto wanalia sababu ya Mama Malaya, unanielewa sijui?
Mdogo wangu punguza umbea ndoa za watu wewe zinakuhusu nini
 
It's easy weeds to germinate than wheat.
Hii ya kulalamika imetokea tu kwa binadamu ama hata swala dume ,jogoo analalamika pia kuwa majike hawamsaidii kitu. Hii Ni nature mwanamke ameumbwa kupokea ndio Mana hata umbile lake la uke linapokea uuuume ndani,sperms linaingia yai tunaumbika.
Tokea kuumbwa kwa dunia mwanamke alitoa sex na watoto Kama wanahitajika. Hii iweke kichwani mwako hata kwa kuichomelea na Moto wa umeme wa nyuklia.

Jogoo mabawa na kucha zake Ni kubwa mno kuliko mtetea.

Mwanaume mabega na kifua Ni kipana na mwanamke kiuno Ni kipana pia. Labda kama mnataka mbadlishe.
Kiasilia mwanamke anatakiwa alee watt cheki hata kuku anavyolea vifaranga.
Nimesema kiasilia ama nature Ila unaweza ukaenda against nature na utapata sababu za kukusapotii.
Peleka naseri watt waongee English na walelewe na hausegeli waanze kulishwa uchi wa hausegeli.

Mungu alituweka duniani akasema tuzaliane Sasa wewe pingana na nature labda unaweza ukaumba dunia yako.


Swala dume ana kambi ya majike 30 yeye anatafuta malisho wanakula huku yeye akigonga ke 30. Jogoo Kuna muda unaweza unadhani kuwa Hali ama hapati njaa ,Yuko bize kumlisha jike ili amkule.
Ila Naona hajawahi lalamika
Never marry a selfish, ungrateful, unsupportive or adulterous woman.

Tofautisha maisha ya wanyama na wanadamu
 
Back
Top Bottom