Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Inategemea una date na mwanamke gani....

Ingawa wanawake wanazingua ila kuna walio wema sana na wenye malengo.

Nishakaa benchi mwaka na nusu nikapauka. Yule dada alinitunza muda wote anakupa kila kitu mpaka hela ya k vant.....

So inategemea.
His money is our money and my money is my money type of women

Hawa ndio malaya wa kuwaepuka kama ukoma
 
Back
Top Bottom