Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Ikawaje mwisho wa siku Mkuu maana hiyo ni aibu kubwa mnoo
 
Ulishawahi kuona kuku jike analilia hela ya vikoba au saluni😂? Tuikienda kiasili ni kuwa natakiwa nikununulie chips mayai ushibe na nikakugonge. Ukibeba mimba usiitoe bali uzae ulee watoto kama mtetea anavyolea wanae.

Wakati una mimba mi naendelea kuwagonga wenzio na hutakiwi kufungua mdomo.
 
Inategemea una date na mwanamke gani....

Ingawa wanawake wanazingua ila kuna walio wema sana na wenye malengo.

Nishakaa benchi mwaka na nusu nikapauka. Yule dada alinitunza muda wote anakupa kila kitu mpaka hela ya k vant.....

So inategemea.
mabwege hawaamini kama kuna wanawake wa aina hii. Ila hawapatikani kirahisi
 
Wakati mwingine tuwapumzishe hawa viumbe.

Kuna nyakati tunasema wanawake hawajui wanataka nini lakini pia kuna nyakati nyingine hata sisi wanaume hatujui tunataka nini.

Kwenye nyakati zote hizo ulizotaja asipokupa mbususu utakuja kuleta uzi mwengine hapa.

Muhimu: Kama hakupi hata ushauri katika maisha naweza kuunga mkono huu uzi lakini wakati huo nawe uachane na mbususu yake kwa maana haina mchango wowote kwenye maisha yako.

Kupanga ni kuchagua.
 
kupitia kuchanua miguu ndo kulisababisha wewe kuwepo.

vipi kwa aliyekuzaa wewe tukisema na yeye ni Malaya pia, je itakuwa ni sawa?
Jifunze kutofautisha MWANAMKE na MAMA

Jua muda anazungumziamwa MWANAMKE na muda Anazungumziwa MAMA, kuchanganya haya majina ni kuwa na uwelewa mdogo hizi ni status mbili tofauti kila mwanamke anakaa kwenye status hizi kulingana na mukatadha.

Talking MAMA MZAZI, ukishasema MAMA mzazi tu hapo umemuweka kwenye status ya MAMA huwezi kuta MAMA anaambiwa katanga mapaja si heshima ila hapa anazunguziwa MWANAMKE kuona maneno katanga mapaja, K, kugongwa kawaida tu.

MAMAYAKO MZAZI, kwako ni MAMA ila kwa wanaume wa umri wake ni Mwanamke weqe utamzungumzia kama MAMA wao watamzungumzia kama mwanamke...Hii inamaanisha uzi huu unamzungumzia Mwanamke ambae kwa umri wetu sisi wana JF yeye Ana status ya mwanamke tu si MAMA kwamba tunaweza kumtongoza na kupiga watoto wa chekechea kwao ni MAMA.
 
Kama hujaoa na kuishi na mwanamke bado hujamjua mwanamke. Unaongea mambo ya kitoto eti sura/kujijali, hudate mwanamke maskini na unadai upo above 35, kama sio mtoto wa kigogo niliowasema bado una safari ndefu. Ulivyojielezea ni kama Mario fulani, ambao hauna future. Tena wadada wenye uwezo nao wanapenda mwanaume mpambanaji sio sio sijui sura/kujijali. Mwanaume kujijali ndo kukoje!?,kutembea na leso muda wote unafuta kiatu kisishikwe vumbi kwenye ardhi ya bongo!?😆
 
Wakati unaandika mambo mengi sana ya kejeli kwa wanawake mfikirie mama yako pia.

Lakini pia kumbuka Mungu hakuwa mjinga kumuumba mwanamke.
Dunia bila mwanamke ingekuwa na stress sana😂😂😂
 
Wakati unaandika mambo mengi sana ya kejeli kwa wanawake mfikirie mama yako pia.

Lakini pia kumbuka Mungu hakuwa mjinga kumuumba mwanamke.
Dunia bila mwanamke ingekuwa na stress sana😂😂😂
Mungu hakuwaumba wanawake mchango wao uwe uchi.

Kasome sifa za mke mwema kwenye Methali 31:10-31


Methali 31:27 BHN.
27. Mke mwema huchunguza yote yanayofanyika nyumbani mwake, kamwe hakai bure hata kidogo.
 
Marioo huyo msingi kiuno si umeona anasema anahongwa
 
Umesema vyema
 
Oyaa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…