Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
- Thread starter
-
- #241
Kuhudumia ni ile mpaka kodi ya nyumba unalipa,simu mpya ni wew,gesi ikiisha ni wew,mama yake akiumwa ni wew,Mim natoa buku ten tu nakula mzigo tena kwa mwez Mara 3.Ukimpa hera sindo kumhudumia au mm nmeelewa vibya wenzangu[emoji23][emoji23]
Nashukuru sana kunisaidia kumueleza ukweli huyo Mama.Mkuu hakuna mwanamke hapa duniani asiyetaka ndoa.
Mwaka 2015 Nilikuwa Norway. Hakuna tofauti kubwa baina ya Wanawake wa Norway na Maeneo mengine Duniani.
Labda kama wewe hujatembea zaidi ya kuona kwenye luninga. Hakuna Nchi isiyo na uchawi sema uchawi unatofautiana Namna ya unavyofanywa.
Pia wanawake unaowasema wa nchi zilizoendelea pia wanambinu zao za kutafuta wanaume wakuwaoa. Pia wao hupigana kwa ajili ya ndoa.
Unaongea mambo usiyoyajua. Kama hujatembea hata kuingia mitandaoni au kusikiliza habari pia unashindwa.
Ati nchi zilizoendelea hakuna Wanawake wanaoenda kwa Waganga. Ni bora ungekaa kimya
acha uboya mkuu utachunwa mwisho wa siku unakumbuka shuka wakati kuna kuchaUsitupangie matumizi ya pesa zetu sisi wenye nazo, kama ni umasikini ni wa kwako na familia yako, acha tutumbue hela zetu , ohoo ngoja nipokee sim ya shemeji yako nilimuagiza gari, ntarudi baadae
Sehemu nyingine huku kwetu hata kwa buku tunawatafunaKuhudumia ni ile mpaka kodi ya nyumba unalipa,simu mpya ni wew,gesi ikiisha ni wew,mama yake akiumwa ni wew,Mim natoa buku ten tu nakula mzigo tena kwa mwez Mara 3.
Siku hz kupata papuchi ni simple sana.Sehemu nyingine huku kwetu hata kwa buku tunawatafuna
Mbona kuna mipapa mikubwa nchini tu ina pesa ndefu lakini inapata tabu kwenye mapenziNi matajiri wangapi wanahudumia vizur lakin wanawake zao wanachepuka? Wamekosa pesa? Wamekosa matunzo? No
Hawatabiriki hawa. Unaweza ukawapa BOT.. akaja kuliwa na dereva toyo
Sawa TomasoNimekuelewa vizuri sana hiyo paragraph yako ya pili.
Hiyo paragraph ya kwanza wanawake wa hivyo waliishia enzi za utawala wa Mwinyi.
Sasa inawezekanaje? Kama Mungu aliyetuumba karuhusu iwe hivi wewe binadamu ni nani unayepinga iwe tofauti?Dunia ingekuwa mahala salama sana pakuishi.
Sijajua ni kwanini huwa unanitolea hii kauli kila siku.
Lini nimewahi kusema wanaume hawana maovu?
Niite tuu kwani si nimepiga mzigo kwako My dear.
Humu wanasema Waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba.
Mkuu naona umepaniki kichizi.
Pole mpenzi. Ukiachana na mimi Jipange! Jipange.
Bado nakupenda. Nimeona nisikubembelezee PM.
Baby achana nae huyoHahahaha sasa na mimi unavyoniita malaya kwani umepiga mzigo kwangu? Kumbe unajua haujapiga sasa kinachokufanya uropoke usichokijua ni nini?
aise hatari hadi mfyonzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeishiwa hoja sasa unabaki kucheka tu, usijali cheka mwaya kufa kwaja utacheka wapi tena labda kama ukifa utaenda mbinguni huko ndiyo utaendelea kucheka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baby achana nae huyo
Ukweli upi?Nashukuru sana kunisaidia kumueleza ukweli huyo Mama.
njoo ulale bhn,achana nao.Naona umeishiwa hoja sasa unabaki kucheka tu, usijali cheka mwaya kufa kwaja utacheka wapi tena labda kama ukifa utaenda mbinguni huko ndiyo utaendelea kucheka.