Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Wakuu,

Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani

We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
 
Ata umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.
 
Ni suala la common sense sio reasoning mtu kalipia mtoto wako ada 1m, ni kukosa akili, kumdai sh 1000 ulio mkopesha.
Ukikopa issue ni kulipa Mkuu Outing hazina uhusiano na Madai boss fanya hivi Baba mkwe akikudai Mahari mtoe Outing na Mama mkwe hata ya million wakati mahari ni laki 5 kama watasamehe
 
Wakuu,

Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani

We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
We unamfanyia yote hayo, ye anakufanyia nini in return?
 
Uko sahihi kabisa Kiongozi. Mimi hao viumbe walishanichosha na ndio maana siwajali kabisa kwa sasa.

Mtu umempeleka Shopping, kanunua kila alichokitaka, baada ya wiki 2 wewe mwanaume nawe ukiamua kwenda shopping ukarudi na kiatu kipya anaanza kunung'unika, kwamba "We mwanaume unajijali mwenyewe tu, kwahiyo wengine Hatutaki kuvaa viatu?" Na hapo hatanii, yuko on a serious mode. Manina kabisa!
 
Back
Top Bottom