Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Anaomba hela ya kusuka 20K unamtumia 50k,jioni anataka umunge na bundle la 5k,ukimwambia kwa sasa sina, anaanza kununa.

Ila kwa muelewa hapa ndipo anajua huyu wife material au unapiga unaamsha.Sometimes wanazani wanatukomoa,najua mnapenda hela ila hiyo hela unayopewa inaweza kitumia kujua wewe ni mwanamke wa aina gani.
 
Screenshot_20240717-145706_(1).png
 
Wakuu,

Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani

We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
I say, uko sahihi 150% Kuna dada niliomba aniazime hela yake nikiwa nimekwama, laki moja. Ikanisaidia sana. Sasa kuna siku nae akaja kunililia shida, kabla sijamrudishia ile laki. Nikampa laki tatu, ambayo haikuwa mkopo, nikijua narudisha hisani. Kuna siku akanifuata ananiuliza lini nitamrudishia laki yake niliyomkopa?😳

Nilimwomba samahani nikamrudishia. Siku alipokuja kuomba tena msaada ndio nikampasukia, kwamba hana akili sawasawa, nikamkumbusha juu ya laki yake na laki zangu tatu. Nikasema iwe mwisho kuniomba msaada, na sintaomba tena msaada kwake.
 
Wanawake tuungane kupinga na kukemea utapeli. Dai dai dai hata kama mia wewe dai, hela akikuachia asubuhi ikibaki akichukua hesabu deni umemkopesha, 🤓🤓 mdai
 
Wanawake tuungane kupinga na kukemea utapeli. Dai dai dai hata kama mia wewe dai, hela akikuachia asubuhi ikibaki akichukua hesabu deni umemkopesha, 🤓🤓 mdai
Sawa, ila mkumbuke kutoomba kwa mnaemdai dai, kama hamtaki kuhesabu anavyowagaramia baada ya kumkopesha. Kwa sababu ukininidai elfu yako wakati najua nakugharamia elfu kumi nyingi tu, nitaacha kukugharamia ili tujaribu kubalance hesabu, ili nawe u catch up na mimi
 
Back
Top Bottom