Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Ata umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Ni suala la common sense sio reasoning mtu kalipia mtoto wako ada 1m, ni kukosa akili, kumdai sh 1000 ulio mkopesha.Kama mtu anakudai kumnunulia chakula ndio umemlipa au ndio yalikuwa makubaliano hayo
Ukikopa issue ni kulipa Mkuu Outing hazina uhusiano na Madai boss fanya hivi Baba mkwe akikudai Mahari mtoe Outing na Mama mkwe hata ya million wakati mahari ni laki 5 kama watasameheNi suala la common sense sio reasoning mtu kalipia mtoto wako ada 1m, ni kukosa akili, kumdai sh 1000 ulio mkopesha.
Hivi ilibaki sh ngapi vile?Lipa deni bana acha bla bla......
We unamfanyia yote hayo, ye anakufanyia nini in return?Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Una uhakika ?Sio wote, mama mtoto wangu alinikopesha zaidi ya million moja na nusu na amenisamehe
Yes, alisema kwa kinywa chakeUna uhakika ?
Nawe ukakubali.Yes, alisema kwa kinywa chake
Wewe unalelewa tu, huwezi kufurukuta nje mpaka ulejeshe 1.5m mwanamke hanaga cha kusamehe, jaribu kupata nyumba ndogo ndo utaelewa kwamba ajakusamehe.Sio wote, mama mtoto wangu alinikopesha zaidi ya million moja na nusu na amenisamehe
Uko wapiiiii😹Hivi ilibaki sh ngapi vile?
Niko bank 🏦🏧 😅Uko wapiiiii😹
Pokea simu pokea simuuuu 😹Niko bank 🏦🏧 😅
Si eti jamani, story nyingi baada ya kulipa buku ya watu 😌😌Lipa deni bana acha bla bla......