Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Nyie ndo mnawapa wanawake haki ambazo kiukweli sio zao. Mwanamke hana haki ya kupenda, wajibu wake ni kumtii mumewe, kumburudisha mumewe na kuwa submissive kwa mumewe basi
Nawakubali sana waarabu kwenye hili, mwanamke analetewa tu mumewe hana haja ya kuchagua eti kampenda au la, mwanaume ndie anaependa na kuchagua.
Watu wenye mentality kama yako ndio wameongeza wimbi la feminists na kuharibu Natural World Order wakiwa vibaraka wa New World Order bila kujijua
Unaishi kwenye Ulimwengu wa miaka 4000 iliyopita.
Mnaooa Wanawake Kwa mafungu ya nyanya.
Kwa sababu mnadhani Wanawake hawapendi na wengi ndio hapo mnapojidanganya.
Endelea kuishi kwenye Zama za Giza hapo.