Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

ndugu ROBERTINHO ebu tuonyeshe mke wako alafu tuingie chimbo
 
Ujawahi kuwa na hela, kuna Mzee alikuwa ana miaka 57, nina miaka 38, nilimpa kazi za mradi, kuna wakati alikuwa anajisahau anasema shikamoo mwanangu.

Hauoni jinsi machawa wa ccm wanavyojitoa utu, ni pesa hiyo ndugu. Kama huna we zitafute utaona nini kitatokea, pesa ni heshima kokote duniani.

Heshima haitokani na Pesa. Ndio maana FaizaFoxy anasema Huko shule mnaenda kusomea ujingaujinga.

Heshima inatokana na Maadili, na uadilifu.

Hicho unachozungumzia ni unafiki na Uchawa. Huwezi ita unafiki na Uchawa kuwa ni heshima.

Pesa ni heshima ikiwa imetafutwa Kwa uadilifu. Fanya ushoga upate utajiri uone Nani atakuheshimu, uza madawa ya kulevya alafu uone kama utaheshimika,

Jamii za Watu wajinga na Wanafiki ndio huonyesha unafiki wao kama sehemu ya heshima.
 
Kwema Wakuu!

Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya.

Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa sababu ya kutimiza mahitaji yake ya kimwili.

Mwanamke hana nguvu yoyote Kwa mwanaume anayempenda. Hilo weka akilini. Ongezea Hii, Mwanamke siku zote humtii na kumsikiliza mwanaume anayempenda.

Kama Mwanamke Hakupendi atakuigizia anakupenda lakini unajua nini kitatokea?

Sikiliza, Mwanamke ataigiza anakutii Kwa Pesa zako kipindi cha mwanzoni tuu na hakitazidi miaka kumi. Hapo atatafuta na kuyaona mapungufu yako hasa ya kimwili, mathalani Hupigi show vizuri au unapiga Nusu dakika kama jogoo wa Segera. Au ataona unakakibamia Kako na hapo ndipo utamuelewa vizuri Mwanamke.

Mwanamke akikupenda muda wote atawaza jinsi ya kukusaidia uwe na furaha. Yaani ukiumia naye anaumia. Ukisema anafanya. Hakunaga show mbovu Kwa Mwanamke anayekupenda. Atakutii Kwa sababu anakupenda.

Zingatia upendo wa Mwanamke na Sisi wanaume ni tofauti. Kutokana na utofauti wa kihisia na kiakili uliopo baina ya Mwanamke na Mwanaume.

Pesa na utajiri unavyotafuta ili uheshimiwe na kutiiwa elewa kuwa unatafuta utiifu na heshima ya mchongo (bandia) na uhakika ni kuwa siku ukiwa na hizo Pesa utagundua kuwa licha ya kuwa unapesa lakini bado Mwanamke uliyenaye hakutii na hakuheshimu. Utajaribu kutafuta wapi umekosea lakini kimsingi ni kuwa ulioa Mwanamke asiyekupenda.

Ukiwa na Akili na ukapata neema ya Mungu basi Oa Mwanamke anayekupenda kisha tafuta Pesa kwaajili yake. Kwa sababu huyo atakutii na kuheshimu hata usipozipata hizo Pesa zenyewe.

Wapo Watu wapo kwenye majumba makubwa ambao wanalazwa Mzungu WA nne na Wake zao, tena ukimuona huyo Mwanamke sio ajabu hata form four hajafika, kazi Hana lakini Moto anaomuwashia Mumewe sio Pouwa.
Kisa na mkasa hakumpenda, alipendea Pesa zake. Au Mwanamke aliolewa ili tuu naye aonekane kaolewa, au muda ulikuwa umemuishia.

Ndugu zangu, hata uwe Rais au Mfalme wa Hii Dunia. Kama Mkeo hakupendi jua upo kwenye shimo la Giza, utapasuka tuu. Ni suala la muda. Kanuni kuu ya Wanawake ni kukusubiri pale nguvu zako zinapokuwa zimekuishia, miaka hamsini hivi, huna cha kumfanya, na kama utaleta ngebe Watoto wataungana na Mama Yao kukudhibiti wewe.

Zingatia kuwa, Mkeo akikupenda lazima ataungana na wewe kupambana na maadui wowote hata wangekuwa ni Watoto mliowazaa. Lakini kama alikuwa hakupendi hiyo vita umepoteza.

Ndio maana nawaambia Vijana, kamwe usilazimishe Mapenzi. Mwanamke kama hakupendi usi-force. Ni hatari.
Bahati nzuri ni rahisi kujua Kabisa Mwanamke ambaye anakupenda na ambaye hakupendi. Ila Kwa Wanawake ni ngumu kumtambua mwanaume anayempenda.

Ujanja tulionao wanaume ni nyakati za Ujana mpaka miaka arobaini hivi. Baada ya hapo Maisha yetu yapo mikononi mwa Wake na watoto wetu.

Sijasema msitafute Pesa. Tafuteni Sana. Lakini Pesa haina maana yeyote kama Mkeo hakupendi. Anakuigizia utiifu na kutafuta areas of your weakness.

Na Mwanaume akishajua kuwa Mkewe kajua udhaifu wake labda Hana Ile uwezo na nguvu za kiume au anaupungufu wa kimaumbile anakuwa ameshaingia katika mtego wa Mwanamke.

Kijana, Mwanamke anayekupenda atakuvumilia na kukutii hata ukiwa katika nyakati za hatari. Au siku unaudhaifu au akikukuta na udhaifu Fulani. Hutakuwa mtumwa wake Bali utakuwa mume kwake milele zote.

Kijana elewa kuwa Mwanamke haogopi kufokewa na Mwanaume asiyempenda. Yaani kama Mkeo hakupendi hata ukimfokea wala haumii Sana. Hata ukijiliza liza ooh sijui MKE wangu hufuati maadili, hunisikilizi. Hayo hayatilii maanani. Ni Kwa sababu hakupendi, na kama hakupendi automatically hakusikilizi. Hajajisalimisha kwako.

Sio ajabu Mwanamke anaweza akawa amekosea na bado asikuombe Msamaha ni Kwa sababu Hakupendi.
Elewa kuwa Mwanamke akikupenda hata kama huna Pesa na amekuzidi Pesa atakupa Pesa zake ili umpe yeye😀😀.
Lakini kama hakupendi hata umpe Dunia nzima kamwe hataridhika bado ataona kuna Pesa umeificha somewhere na unahonga Wanawake wengine.

Usiombe uumwe kisukari au presha ambayo ikafifisha nguvu za kiume alafu ulioa Mwanamke asiyekupenda. Utajuta Maisha yako yote.
Lakini Mwanamke akikupenda, huna hofu yoyote. Ni kama Mwanamke akipendwa na Mwanaume hapaswi kuwa na hofu.

Unaweza ukawa na Pesa nyingi Sana lakini nyumba yako ikawa inaongozwa na Mwanaume mwingine nje ya nyumba yako. Yaani hiyo inaitwa Ukoloni mamboleo katika Ndoa.
Mkeo hakupendi na anamwanaume mwingine anayempenda ambaye huenda umemzidi kipato na mamlaka. Kila unachokifanya huyo Mwanaume anakijua, na pengine maamuzi mengine anayotoa Mkeo hapo nyumbani yanatoka Kwa huyo Mwanaume.

Ndio maana inashauriwa mwanaume asisikilize ushauri wa Mkewe hasa Yule MKE ambaye anajua kabisa hampendi na alifosi Mapenzi. Kwa sababu Wanawake wengi Duniani hawawezi kufanya maamuzi pasipo kuchukua ushauri Kutoka Kwa Watu wanaowapenda ambao ndio huwaamini. Hivyo ni rahisi Mkeo kuchukua ushauri Kwa Mama yake, Shoga yake au Ex wake aliyempenda Sana.

Vijana tatuteni Pesa ili mtumie na Wanawake ambao wanawapenda ninyi hata kama msingekuwa na hizo Pesa.
Mkiendelea kubisha Mimi simo.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
ROBERT HERIEL unatema madini tu hongera sana
 
Vitabu vya dini huwa vinakazia "wana macho lkn hawaoni na wanamasikio lkn hawasikii" unaelimisha sana kuhusu hili ila bdo kuna mtu anapita hpa kila siku lkn mwisho wa siku bado ataongozwa na matamanio zaidi
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Na ndio mana ikasisitizwa na mleta mada mtu kuoa mwanamke anyempenda maana upendo wa kweli ukiwepo automatically mwanamke atavumilia madhaifu yako
 
Mimi ninaamini kama uliishi na familia yako kwa amani na upendo,ukatimiza majukumu yako kwa mke na watoto wako, hata ukose nguvu za kiume,upate pressure na kisukari upendo na utii bado utaendelea kuwepo.LAKINI kama uliitelekeza familia ukaenda kutumia pesa na michepuko huku wanao ma mkeo wanashinda njaa,watoto wanakosa ada jiandae ndugu, fainali uzeeni.
 
Mtibeli wewe wanawake huwajui bado.

Pamoja na kuwajua kote wanawake, kiundani na kuwa chambua walivyo, ila amini kwamba unaweza pigwa tukio siku moja na mpenzi wako, unaye amini anakupenda sana, ukabaki kushangaa.

Yaka kukuta, Yaliyo mkuta mchambuzi wa maswala ya mahusiano na wanawake tajiri maarufu "Steve Harvey" ambaye Ali amini mke wake ana mpenda sana, ila kwa sasa ashapigwa za usoo na mkewe, Haamini kilichotokea

TKO moja hatari sana, mke wake ameliwa kimasihara....[emoji1787][emoji1787]
 
Pamoja na uchambuzi wote kuhusu wanawake lakini bado "Steve Harvey" mke wake ameliwa kimasihara[emoji1787][emoji1787]

Haya mambo hayanaga upendo wala nini, yanakujaga kimasihara.

Kama uzi maarufu wa JF wa kula tunda kimasihara ulivyo chambua.

Fear women.

FB_IMG_1693167645219.jpg
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Fimbo ipi hiyo?
 
Ni kweli, mwanamke akikupenda haoni madhaifu yako. Kila ukifanyacho kwake ni furaha tu.

Unawaza muonane wapi na huna kitu, unaamua tu basi hata muonane stendi ila hiyo furaha yake utadhani umempeleka selena hotel.
Naomba nitofautiane na wewe mkuu. Upendo unaona madhaifu ya mtu na "kuchagua" kuyahimili. Ninahisi wengi wetu humu tunaongelea upendo wa rasharasha tu hapa lakini kiukweli upendo umebeba vitu vingi sana.

Kuna muda katika ndoa/familia tuseme, mwenza wako anafanya tukio mpaka unasema hapa nimefika mwiaho, ama inatokea situation ambayo inawaumiza sana wote wawili hasa ugonjwa, kufukuzwa kazi, ajali na mambo ya dizaini hizo na bado mnachagua kuishi na kutembea pamoja katika hali zote na kushikamana. Imagine linakuja jitatizo hilo, linainvolve kumbadilisha pampers mwenz mchana na usiku, kumlisha, kumuogesha huku kuna watoto and stufd like that, kuweza??

Mara watoto kukosa ada ama hakuna gesi wala mkaa, mara mchele umeisha..najaribu kusema kwamba, upendo ni sacrifice kubwa sana ambayo wenza wanatakiwa kuifanya kila iitwapo leo. Mwenzangu na mie tusipotumiwa teni tu ya lunch hatupokei simu😅😅😅😅. Anyways, it is what it is.....
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Madam fimbo gani unamanisha? Zile za kitandani au zile wanafunzi wanachapwa na walimu?
 
Back
Top Bottom