Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Yaan hapo maana yake km hum.tombi akato.mbeka?
 
Na Hawezi kukupenda kama ulishindwa Kumfanya Akupende, mwanamke haamui kupenda, Anafanywa Apende .
Niamini Mimi mwanamke kuna fantasy zake anazozitaka kutoka kwa mwanaume ukimuongopea maneno mazuri yeye zile fantasy zinarotate kwenye bongo yake sasa akiingia akaona zile fantasy haziwi reality Mzee hakuna kupendwa hapo wanawake hawapendi muulize R Kelly walichomfanya sasa hivi anasaga meno huko ananyea debe
 
Hakupendi Mzee hata ukifoka anakuona km kimbu tu kinampigia makelele
Bado hujafafanua?
Mwanamke gani anapenda kufokewa?
Yupi anaumia kama ukimfokea Yule asiyekupenda/ anayekupenda?

Tunajidanganya tu kupenda ni Jambo la muda
Leo anaweza kukupenda Kesho akageuka. Na kinyume chake ni sahii
 
Wewe jua tu hakuna mwanamke anaekupenda akiwa kwenye siku zake za maumivu sababu anasikia maumivu na wewe hujafanikisha kulitungua yai lake unamuacha aishi kwa mateso
 
Niamini Mimi mwanamke kuna fantasy zake anazozitaka kutoka kwa mwanaume ukimuongopea maneno mazuri yeye zile fantasy zinarotate kwenye bongo yake sasa akiingia akaona zile fantasy haziwi reality Mzee hakuna kupendwa hapo wanawake hawapendi muulize R Kelly walichomfanya sasa hivi anasaga meno huko ananyea debe
Una kitu utafika mbaliii, unapita mule mule.
 
Suluhisho ya hayo yote ni kuwa Detached tu na mambo mengi!
 
Naomba nitofautiane na wewe mkuu. Upendo unaona madhaifu ya mtu na "kuchagua" kuyahimili. Ninahisi wengi wetu humu tunaongelea upendo wa rasharasha tu hapa lakini kiukweli upendo umebeba vitu vingi sana.

Kuna muda katika ndoa/familia tuseme, mwenza wako anafanya tukio mpaka unasema hapa nimefika mwiaho, ama inatokea situation ambayo inawaumiza sana wote wawili hasa ugonjwa, kufukuzwa kazi, ajali na mambo ya dizaini hizo na bado mnachagua kuishi na kutembea pamoja katika hali zote na kushikamana. Imagine linakuja jitatizo hilo, linainvolve kumbadilisha pampers mwenz mchana na usiku, kumlisha, kumuogesha huku kuna watoto and stufd like that, kuweza??

Mara watoto kukosa ada ama hakuna gesi wala mkaa, mara mchele umeisha..najaribu kusema kwamba, upendo ni sacrifice kubwa sana ambayo wenza wanatakiwa kuifanya kila iitwapo leo. Mwenzangu na mie tusipotumiwa teni tu ya lunch hatupokei simu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Anyways, it is what it is.....
Selfishness at high rate
 
Vitabu vya dini huwa vinakazia "wana macho lkn hawaoni na wanamasikio lkn hawasikii" unaelimisha sana kuhusu hili ila bdo kuna mtu anapita hpa kila siku lkn mwisho wa siku bado ataongozwa na matamanio zaidi

Watapasuka kila uchwao
 
Back
Top Bottom