mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Point!Na hawezi kukutii kama hanufaiki nawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point!Na hawezi kukutii kama hanufaiki nawe
Yes...!Sidhani Kama inahitaji kupendwa au kutiiwa ili ukamulike, muhimu timiza wajibu wako ktk maisha then mengine iachie nature
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikuonyeshe wewe na Nani Mkuu?
Namaanisha iD yako inamilikiwa na watu wangapi?
Sasa upendo wake wa nini miye? Mimi ninachohitaji uchi tu. Anipende asinipende kimpango wake. Sina shida nao huo upendo.Hakuna upendo bila fimbo za kumchapa mtu achapike, asikudanganye mtu.
Una wenyew sindio sisi jmn🤣Kwema Wakuu!
Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya.
Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa sababu ya kutimiza mahitaji yake ya kimwili.
Mwanamke hana nguvu yoyote Kwa mwanaume anayempenda. Hilo weka akilini. Ongezea Hii, Mwanamke siku zote humtii na kumsikiliza mwanaume anayempenda.
Kama Mwanamke Hakupendi atakuigizia anakupenda lakini unajua nini kitatokea?
Sikiliza, Mwanamke ataigiza anakutii Kwa Pesa zako kipindi cha mwanzoni tuu na hakitazidi miaka kumi. Hapo atatafuta na kuyaona mapungufu yako hasa ya kimwili, mathalani Hupigi show vizuri au unapiga Nusu dakika kama jogoo wa Segera. Au ataona unakakibamia Kako na hapo ndipo utamuelewa vizuri Mwanamke.
Mwanamke akikupenda muda wote atawaza jinsi ya kukusaidia uwe na furaha. Yaani ukiumia naye anaumia. Ukisema anafanya. Hakunaga show mbovu Kwa Mwanamke anayekupenda. Atakutii Kwa sababu anakupenda.
Zingatia upendo wa Mwanamke na Sisi wanaume ni tofauti. Kutokana na utofauti wa kihisia na kiakili uliopo baina ya Mwanamke na Mwanaume.
Pesa na utajiri unavyotafuta ili uheshimiwe na kutiiwa elewa kuwa unatafuta utiifu na heshima ya mchongo (bandia) na uhakika ni kuwa siku ukiwa na hizo Pesa utagundua kuwa licha ya kuwa unapesa lakini bado Mwanamke uliyenaye hakutii na hakuheshimu. Utajaribu kutafuta wapi umekosea lakini kimsingi ni kuwa ulioa Mwanamke asiyekupenda.
Ukiwa na Akili na ukapata neema ya Mungu basi Oa Mwanamke anayekupenda kisha tafuta Pesa kwaajili yake. Kwa sababu huyo atakutii na kuheshimu hata usipozipata hizo Pesa zenyewe.
Wapo Watu wapo kwenye majumba makubwa ambao wanalazwa Mzungu WA nne na Wake zao, tena ukimuona huyo Mwanamke sio ajabu hata form four hajafika, kazi Hana lakini Moto anaomuwashia Mumewe sio Pouwa.
Kisa na mkasa hakumpenda, alipendea Pesa zake. Au Mwanamke aliolewa ili tuu naye aonekane kaolewa, au muda ulikuwa umemuishia.
Ndugu zangu, hata uwe Rais au Mfalme wa Hii Dunia. Kama Mkeo hakupendi jua upo kwenye shimo la Giza, utapasuka tuu. Ni suala la muda. Kanuni kuu ya Wanawake ni kukusubiri pale nguvu zako zinapokuwa zimekuishia, miaka hamsini hivi, huna cha kumfanya, na kama utaleta ngebe Watoto wataungana na Mama Yao kukudhibiti wewe.
Zingatia kuwa, Mkeo akikupenda lazima ataungana na wewe kupambana na maadui wowote hata wangekuwa ni Watoto mliowazaa. Lakini kama alikuwa hakupendi hiyo vita umepoteza.
Ndio maana nawaambia Vijana, kamwe usilazimishe Mapenzi. Mwanamke kama hakupendi usi-force. Ni hatari.
Bahati nzuri ni rahisi kujua Kabisa Mwanamke ambaye anakupenda na ambaye hakupendi. Ila Kwa Wanawake ni ngumu kumtambua mwanaume anayempenda.
Ujanja tulionao wanaume ni nyakati za Ujana mpaka miaka arobaini hivi. Baada ya hapo Maisha yetu yapo mikononi mwa Wake na watoto wetu.
Sijasema msitafute Pesa. Tafuteni Sana. Lakini Pesa haina maana yeyote kama Mkeo hakupendi. Anakuigizia utiifu na kutafuta areas of your weakness.
Na Mwanaume akishajua kuwa Mkewe kajua udhaifu wake labda Hana Ile uwezo na nguvu za kiume au anaupungufu wa kimaumbile anakuwa ameshaingia katika mtego wa Mwanamke.
Kijana, Mwanamke anayekupenda atakuvumilia na kukutii hata ukiwa katika nyakati za hatari. Au siku unaudhaifu au akikukuta na udhaifu Fulani. Hutakuwa mtumwa wake Bali utakuwa mume kwake milele zote.
Kijana elewa kuwa Mwanamke haogopi kufokewa na Mwanaume asiyempenda. Yaani kama Mkeo hakupendi hata ukimfokea wala haumii Sana. Hata ukijiliza liza ooh sijui MKE wangu hufuati maadili, hunisikilizi. Hayo hayatilii maanani. Ni Kwa sababu hakupendi, na kama hakupendi automatically hakusikilizi. Hajajisalimisha kwako.
Sio ajabu Mwanamke anaweza akawa amekosea na bado asikuombe Msamaha ni Kwa sababu Hakupendi.
Elewa kuwa Mwanamke akikupenda hata kama huna Pesa na amekuzidi Pesa atakupa Pesa zake ili umpe yeye😀😀.
Lakini kama hakupendi hata umpe Dunia nzima kamwe hataridhika bado ataona kuna Pesa umeificha somewhere na unahonga Wanawake wengine.
Usiombe uumwe kisukari au presha ambayo ikafifisha nguvu za kiume alafu ulioa Mwanamke asiyekupenda. Utajuta Maisha yako yote.
Lakini Mwanamke akikupenda, huna hofu yoyote. Ni kama Mwanamke akipendwa na Mwanaume hapaswi kuwa na hofu.
Unaweza ukawa na Pesa nyingi Sana lakini nyumba yako ikawa inaongozwa na Mwanaume mwingine nje ya nyumba yako. Yaani hiyo inaitwa Ukoloni mamboleo katika Ndoa.
Mkeo hakupendi na anamwanaume mwingine anayempenda ambaye huenda umemzidi kipato na mamlaka. Kila unachokifanya huyo Mwanaume anakijua, na pengine maamuzi mengine anayotoa Mkeo hapo nyumbani yanatoka Kwa huyo Mwanaume.
Ndio maana inashauriwa mwanaume asisikilize ushauri wa Mkewe hasa Yule MKE ambaye anajua kabisa hampendi na alifosi Mapenzi. Kwa sababu Wanawake wengi Duniani hawawezi kufanya maamuzi pasipo kuchukua ushauri Kutoka Kwa Watu wanaowapenda ambao ndio huwaamini. Hivyo ni rahisi Mkeo kuchukua ushauri Kwa Mama yake, Shoga yake au Ex wake aliyempenda Sana.
Vijana tatuteni Pesa ili mtumie na Wanawake ambao wanawapenda ninyi hata kama msingekuwa na hizo Pesa.
Mkiendelea kubisha Mimi simo.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
👊MkuuUnaishi kwenye Ulimwengu wa miaka 4000 iliyopita.
Mnaooa Wanawake Kwa mafungu ya nyanya.
Kwa sababu mnadhani Wanawake hawapendi na wengi ndio hapo mnapojidanganya.
Endelea kuishi kwenye Zama za Giza hapo.
Mwanamke ameumbwa kutiii na mwanaume ameumbwa kupenda..asa sijui porojo zako umetoa wap...!!!!
punguza chai kwenye mambo usiyo na ufaham nayo.
Kuna wake za kiarabu wanatiwa mpaka huruma. Mi nimeshuhudia na mwanaume hajui.Nyie ndo mnawapa wanawake haki ambazo kiukweli sio zao. Mwanamke hana haki ya kupenda, wajibu wake ni kumtii mumewe, kumburudisha mumewe na kuwa submissive kwa mumewe basi
Nawakubali sana waarabu kwenye hili, mwanamke analetewa tu mumewe hana haja ya kuchagua eti kampenda au la, mwanaume ndie anaependa na kuchagua.
Watu wenye mentality kama yako ndio wameongeza wimbi la feminists na kuharibu Natural World Order wakiwa vibaraka wa New World Order bila kujijua
unamaanisha wanacheat, au niniwanatiwa mpaka huruma
Wanacheat sana. Mara ya kwanza sikuamini ila baadaye nilishuhudia. Yule mwanaume wa kiarabu anajisifu si tunamuona kama boya tu.unamaanisha wanacheat, au nini
hiyo kauli ya 'mwanamke anatakiwa akutii sio akupende' nina mashaka nayoWanacheat sana. Mara ya kwanza sikuamini ila baadaye nilishuhudia. Yule mwanaume wa kiarabu anajisifu si tunamuona kama boya tu.
Aisee wake za waarabu na wahindi wanqpelekewa moto sema wana akili Moja: hawatakubali wazae na wewe ikiwa mume wake Yuko hai.
Yule alimuigizia. Lazima utambue upendo wa kweli na feki.Mtibeli wewe wanawake huwajui bado.
Pamoja na kuwajua kote wanawake, kiundani na kuwa chambua walivyo, ila amini kwamba unaweza pigwa tukio siku moja na mpenzi wako, unaye amini anakupenda sana, ukabaki kushangaa.
Yaka kukuta, Yaliyo mkuta mchambuzi wa maswala ya mahusiano na wanawake tajiri maarufu "Steve Harvey" ambaye Ali amini mke wake ana mpenda sana, ila kwa sasa ashapigwa za usoo na mkewe, Haamini kilichotokea
TKO moja hatari sana, mke wake ameliwa kimasihara....[emoji1787][emoji1787]
Inaanza upendo ndo inafuata heshima na inamaliziwa na utiifu.hiyo kauli ya 'mwanamke anatakiwa akutii sio akupende' nina mashaka nayo
Onyesha wako anaekupenNikuonyeshe wewe na Nani Mkuu?
Namaanisha iD yako inamilikiwa na watu wangapi?
Ww jamaa nisha kuonya ya kuwa acha tabia ya kujifanya unawajua wanawake kuliko Mungu aliye waumba, aliye waumba alisha kwambia kuwa uishi nao kwa akili ina maana ya kuwa ikiona mwanamke ana kengeuka ujue ww mwanaume ndo una matatizo na si huyo mwanamke.
Kwanza tuambie mwanamke anaye kutii kwa sababu ya upendo na yule anaye kutii kwa sababu ya woga unawatafautishaje?
Nyinyi ndo huwa mnajiuwa au kuuwa mabinti za watu baada ya kuwafumania kwa sababu mlikuwa mnawaamini wake na mademu zenu kuwa wanawapenda sana bila kujua kuwa mwana mke kubadilisha mtazamo juu yako ni sekunde moja.
Mwaume unacho takiwa kufanya ukifika umri wa kuoa tafuta mwanamke anaye ona ana kufaa kwa vigezo vyako akisha kubali kuolewa na ww, ww kama mwanaume na kichwa cha familia weka sheria zako ambazo anatakiwa azitii haijalishi ni kwa namna gani akishindwa basi achana naye.
Haya mambo ya sijui kupendwa sijui nn yako kinadharia na kwenye mapenzi ya bongo move lakini mitaani hakuna kitu kama hicho.
Mwanaume yeyote anaye ishi kwa kutafuta atetion kwa wanawake sijui apendwe sijui taka taka gani huyo ni mwanaume mpumbavu.
Na malizia kwa kukuonya tena siku zote za maisha yako usije ukamuamini mwanamke hata siku moja haijalishi ataigiza upendo kiasi gani kwako.
Ww jamaa unanichekesha sana sasa kama huyaamini maandiko ya biblia kisa ni maneno ya paulo iweje unataka tuyaamini maneno yako au ww maneno yako yametoka kwa mungu?Embu nionyeshe sehemu ambayo Mungu Kasema hayo.
Au Paulo ndio kawa Mungu siku hizi
Lazima ujue sio Kilamtu anaamini hayo maandiko kutoka kwenye kitabu unacho amini wewe,Nyie ndo mnawapa wanawake haki ambazo kiukweli sio zao. Mwanamke hana haki ya kupenda, wajibu wake ni kumtii mumewe, kumburudisha mumewe na kuwa submissive kwa mumewe basi
Nawakubali sana waarabu kwenye hili, mwanamke analetewa tu mumewe hana haja ya kuchagua eti kampenda au la, mwanaume ndie anaependa na kuchagua.
Watu wenye mentality kama yako ndio wameongeza wimbi la feminists na kuharibu Natural World Order wakiwa vibaraka wa New World Order bila kujijua