Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani


Naomba hiyo sheria inayoeleza hayo uliyoyasema.

Nafikiri unajua sheria ni Jambo Gani
 

Unaposema Mwanamke Mwema unazungumzia Jambo Gani?

Unajua vitu kama huvijui ni Bora ukae kimya.
Embu eleza unatenganisha vipi Wema na Upendo?
Au hujui upendo ndio Wema na Wema ndio upendo?

Huko shuleni mlienda kusomeà ujinga kweli
 
Mzee wa madini adhimu....Umepiga mule mule ngoja tuendelee kufanya reflections
 
Unaposema Mwanamke Mwema unazungumzia Jambo Gani?

Unajua vitu kama huvijui ni Bora ukae kimya.
Embu eleza unatenganisha vipi Wema na Upendo?
Au hujui upendo ndio Wema na Wema ndio upendo?

Huko shuleni mlienda kusomeà ujinga kweli
Hakuna mtu mwema anaye weza kumfanyia ubaya mtu ambaye amemfanyia wema.
Mwanamke mwema hawezi kuja kumfanyia ubaya mwanaume aliye mfanyia wema wa kumuowa kwa kisingizio cha kukosa mapenzi juu yake hali ya kuwa hakurazimishwa kuolewa naye, kama ulijua humpendi kwann ulikubali uliolewa naye?

Mwanamke mwema huwa anathamini kila wema atakao fanyiwa na mme wake bila kujali huyo mwanaume yukoje kwa sababu hakurazimishwa kuolewa naye.

Upendo na wema ni vitu viwili tofauti kabisa kwasababu mtu mwema huwa hachagui ni mtu gani amfanyie wema ,wakati mwenye upendo huwa anachagua ni nani ampe upendo wake na ni nani amnyime.

Ww mwenyewe umesema mwana mke mwenye upendo juu yako ndo atakutii , lakini mwanamke mwema atakutii kivyovyote vile kwa sababu yeye mwenyewe alikubali kuwa mkeo kwa hiyari yake.

Ni kutadharishe tu usije kumuamini mwana mke haijalishi ataigiza upendo kiasi gani kwako utakuja kufa mapema na kifala sana.
 

Labda hujui Kanuni za Asili.
"Trust no one" sio tuu Mwanamke. Hata wewe hautakiwi kuaminiwa. Hivyo sio ishu ya Mwanamke pekee.

Ndoa nguzo yake kuu ni Upendo.
Mwanamke lazima akupende na Mwanaume lazima umpende Mkeo. Hiyo ndio Ndoa.

Mwanamke kama hakupendi hawezi kuwa Mkeo, hawezi kukutii.

Ninyi ndio maana mapenzi yanawachezesha shere.

Ungekuwa unaelimu walao ya Saikolojia, Fiziolojia na sosholojia ungeelewa nazungumzia nini.

Kama hujui Mwanamke anapenda kama wewe unachopenda. Ni mpaka siku ujue Mkeo au mchumbaako ana Mwanaume mwingine anayempenda kuliko wewe ndio utajiona ulikuwa Nyuma Sana kuelewa mambo haya.

Kama hujawahi kupendwa na hao Wanawake basi unabahati Mbaya Sana kwenye Maisha Ndugu yangu.
 
Hebu niambie ni viashiria gani vitakavyo kufanya uamini kuwa huyo mwanamke ana kupenda au ana kuigizia hebu viweke hapa.

Ww jamaa una ujuaji ulio pitiliza na ndio maana ww unataka kila utakacho kisema kiwe sawa hata kama hakiko sawa.

Ndio maana unajichanganya mwenyewe kwa kuongea pumba, ww unasema kuwa mwanamke hawezi kuolewa na mwanamme asiye mpenda lakini wakati huo huo unaniambia kuwa siku nikigundua kuwa mke wangu anampenda mwanaume mwingine kuliko mm nitaumia, sasa kwann hakuolewa na huyo mwanaume aliye mpenda aje aolewe na mm asiye nipenda hali ya kuwa umesema kuwa mwana mke haolewi na mtu asiye mpenda?

Hao wana saikolojia wanao jifanya wanawajua wanawake na wao wanagongewa tu ,ww mwenyewe nikikuuliza una uhakika gani kuwa mkeo huyo unaye sema unakupenda huwa hakusariti unaweza kunipa huo udhibitisho?

Hiyo hoja yako ya mwisho uliyo itoa ni ya kipumbavu na kifala inayo onesha kuwa umeshiwa hoja.
Kwa hiyo kumbe kipindi ww unaleta nyuzi za kuwaponda wanawake humu sijui usimuonee huruma mwanamke , sijui mwana ume ni mtawala kilikuwa ni kisirani cha kupingwa vibuti na mademu sasa umempata anaye kuigizia na ndio maana una jiona ww ni fundi wa mapenzi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2].

Katika ulimwengu huu hakuna fundi wa mapenzi na hato kuja kutokea acheni ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu.
 
Kumfukuza Kuna shida gani?
 

Ukisoma nyuzi zangu unatakiwa uwe na Upeo mkubwa wa kufikiri.
Au uwe na unauzoefu na kile nilichokiandika. Lakini kama Akili mbili kasoro, au ndio Kwanza imeanza kuingia kwenye mapenzi juzi basi itakupasa uwe mtulivu.

Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi, hiyo weka akilini Mwako.
Kumuoa Mwanamke na kukupenda ni vitu viwili tofauti.
Mwanamke anaweza akaolewa na MTU yeyote lakini haimaanishi anaweza kumpenda mtu yeyote.
 
Acha kujipa upeo usio kuwa nao ww una upeo gani? Hivi upeo ni kuandika kitu leo alafu baada ya mwaka mmoja unakuja kukipinga tena?

Hivi sio ww uliyewahi kuleta nyuzi kipindi cha nyuma inayo sema kuwa wanawake hawana upendo wa kweli bali ni wa kuigiza,na hawatakiwi kulaumiwa kwa hilo kwa sababu kupenda sio jukumu lao bali ni la mwanaume?

Ww jamaa unanichekesha jinsi unavyo ruka matuta hasa pale unapo banwa kwa hoja nime kuomba ufafanuzi kuwa ili ujue mwanamke anakupenda kutoka moyoni anatakiwa aweje ? Mpaka sasa sijaona jibu.

Alafu mm sio mshamba wa mapenzi kwa sababu nn siwezi kubadilisha mtazamo wangu juu ya wanawake kisa kuna mwanamke ananiigizia kuwa ananipenda.

Mshamba wa mapenzi ni ww ambaye umezuzuliwa na wanamke wako uliye mpata kiasi cha kushindwa kusimamia kile unacho kuamini na kukana maneno yako ambayo uliyaongea kwa kinywa chako mwenyewe humu.

Shujaa muongoza njia bwana Ruge maneno yake yana ishi mpaka sasa kuwa ogopa Mungu na teknolojia ,hebu rudi kwenye nyuzi zako za nyuma kuhusu wanawake alafu ujione jinsi ulivyo mtu dhahifu kabisa.
 

Upendo wa Mwanamke unaendana na maumbile yake.
Ndio maana nikakuambia ukisoma nyuzi zangu lazima ukae utulie ujue huyu jamaa amelenga nini.

Ndio maana ukiwa Darasa la Kwanza unaambiwa 1-2 jibu haiwezekani lakini ukifika Darasa la tatu au la nne jibu linawezekana.

Au ukiwa mdogo uliambiwa mwanaume halii lakini sio ajabu siku ukamuona Baba yako akiwa analia.

Tumia Akili unapoyaendea mambo, changanua, chambua vitu Kwa muktadha.

Tatizo mmezoea kukaririshwa, ndio maana mnaambiwa mmeenda kusomea ujingaujinga tuu.

Jambo lolote lazima utumie logic katika kuliendea, logic inaendana na muktadha, tunaita Hekima.

Kama hujaelewa mpaka hapa, basi sitalazimika kuhitimisha kuwa unasafari ndefu katika mambo ya falsafa, Saikolojia na sosholojia.
 
Ogopa Mungu na teknolojia aisee Ruge alikuwa ni noma yaani unayakana maneno yako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2].

Ngoja nikuwekee ushahidi ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Na rudia tena hakuna fundi wa mapenzi dunia hii na wala hatokuja kuwepo mpaka mwisho wa dunia hii , na huu msemo utakuja kuukumbuka pale huyo muigizaji wako uliye naye atatimiza malengo ya uigizaji wake kwako.

Nime kuuliza utamtambuaje mwamke anaye kupenda kweli na yule anaye kuigizia, lakin mpaka sasa sijaona jibu lako, ukimia wako ni jibu tosha kuwa hakuna tofauti kati ya mapenzi ya kweli na ya kuigiza na ndio maana nime kuomba udhibitisho wa uaminifu wa mke wako umeshindwa kunipa kwa sababu huna uhakika na mapenzi ya mkeo kwako maana hujui iwapo ni ya kweli au ni ya kuigiza.
View attachment 2762747
 

Wakuogopa ni Mungu tuu. Hiyo teknolojia ni mawazo na maoni ya Ruge tuu yasiyo na uhalisia
 


Wewe mwenyewe unamtii Bocy wako kwa dhati na umpendi.
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Aahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…