Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

Kwan mnogombania nini?
 
Kwema Wakuu!

Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya.

Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii.
Kama unatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wakutii na kukuheshimu basi haujakomaa kiakili. Maana utatumia pesa nyingi sana kwaajili ya kuwafurahisha wanawake.
  • Kuna watu waliwasomesha wanawake wakijua watawatii na kuwaheshimu lkn matokeo yake waliachwa kwa aibu kubwa.
  • Kuna watu wamewanunulia kila wanachohitaji mwanamke kwa lengo la kuwatii na kuwaheshimu lkn matokeo yake mwanamke anatoka na house boy. Tena pesa zako ndizo anahongea
 
😀😀😀
Sawa Boss. Kumbe unajuaga ulivyomnoko na kupelekesha wafanyakazi ndio maana unajua sikupendi


Hapana, ila asikuambie, pesa ni kila kitu, ungesema hakuheshimu kwa dhati sawa, ila heshima tu? Hela inannua.

Angalia Mawaziri na wana siasa wanavyo abudu na kusifia uongo mpaka unashangaa wana akili kweli?
 
Hapana, ila asikuambie, pesa ni kila kitu, ungesema hakuheshimu kwa dhati sawa, ila heshima tu? Hela inannua.

Angalia Mawaziri na wana siasa wanavyo abudu na kusifia uongo mpaka unashangaa wana akili kweli?

Pesa sio kila kitu mkuu.

Hela hainunui heshima ila inaleta woga na unafiki
 
Mwanamke hakuumbwa kupenda, fahamu huo ukweli kwanza.
 
Wanawake ni wanadamu. Wana mioyo. Wanapenda. Ingawaje upendo wao ni tofauti na wanaume.

Kama hujawahi kupendwa sema sijawahi kupendwa. Na sio useme wanawake hawapendi.
wao upendo wao upo kwenye vitu mkuu. Na hivyo vitu unaweza ukawa navyo hata kwenye mwili wako.

Pili wanawake ni chombo na wameamriwa hata na aliye waumba kututii na siyo kutupenda. Hii kusema wanapenda chunguza vizuri utakuja kugundua siyo upendo bali ni tamaa zilizojificha katika upendo wa vitu visivyoeleweka
 
Hayanaga muongozo. tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hapa hii ni point. Sema tu umekosea kaluli moja. Kupenda. Mwanamke akikuahidi kukupenda,ujue umeisha. Utapendwa na wanao au na wewe utapenda wanao. Watu wengine ni sanaa tu
 
Mbona huwafundishi waganyaje Ili wapendwe?neno linatufunza tuwatii waume nao waume watupende Sasa mbona unahamiasha majukumu?Wafundishe watafute Hela,watupende,watu teaty vyema lazima TUWATII
 
Mbona huwafundishi waganyaje Ili wapendwe?neno linatufunza tuwatii waume nao waume watupende Sasa mbona unahamiasha majukumu?Wafundishe watafute Hela,watupende,watu teaty vyema lazima TUWATII

Sitaki kuwafundisha kuwa Mabwege.
Wanafunzi waliofuzu kwangu wanaenjoy maisha ya ndoa na wake zao wananishukuru
 
Kisayansi Mwanamke anapenda.
Wanawake wanaongozwa na mihemko, ndio maana upendo wao ni kama mshumaa. Zile factors zilizomfanya apende leo zikiondoka ama zikija bora zaidi anapoteza upendo kirahisi tu. Hili wala halihitaji tochi wala imani.
 
Biblia hiyohiyo inasema amri kuu ni upendo, kwa hiyo hiii haiwahusu wanawake sio?
 
Biblia hiyohiyo inasema amri kuu ni upendo, kwa hiyo hiii haiwahusu wanawake sio?
Kwani unafahamu aina ngapi za upendo?Au kwako kila mwanamke unayempenda unamtamani awe mkeo? Jaribu kufikiri
 
100% kwenye heading.
mengine sijasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…